ROSE MUHANDO amuonesha kwa mara ya kwanza MUME wake MZUNGU|ananipenda sana na NITAMZALIA MAPACHA

preview_player
Показать описание
East African number one Youtube channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS

KANUNI NA MUONGOZO

Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.

NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere

#diamondplatnumz #wasafi #ayotv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dada rose mungu hayuko kma unavyofiria kwakweli loh dada yangu, ya mungu si mawazo yetu sikukutegemea eti mwenye pesa loh.pole sana.

walawioutreach
Автор

Mungu anakupa unachomwomba, Mungu anaskia maombo, so sioni jipya hapo, Dada Rose Wacha Mungu akutimizie hitaji la moyo wako

perispero
Автор

🤣🤣🤣🤣🤔nyie pumbavu zenu Sana mbwa nyie hajasema yote haya mliyoyaongeza hapa

gosbertmuta
Автор

Dada hajuwi wazungu uta wa helewa baadaye. Ume pitiya mengi usinge kurupuka kwa hilo ombi . Ni shauri langu kwako !!!

emoalembe
Автор

Wajinga nyinyi ameonyesha mzungu wapi hapo?

mathiaskano
join shbcf.ru