Msimu wa kwanza! – Nyavu | Maisha Magic Bongo

preview_player
Показать описание
Tino aka Stoni, mshkaji anajikuta kwenye dailema la manaa, je ni nini haswa kinamtokea? Baada ya kusubiri kwa hamu na gamu, tamthilia yetu mpya #NYAVUTZ inaanza LEO, saa 1.30 usiku! Ungana nasi katika kipindi cha kwanza hapa #MMBongo! Ni Yetu!

---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii ambayo ina Tessa lazima niifatilie hadi mwisho. Grace Mapunda hoyee!

marinabuluma
Автор

Mbona cpati muendelezo jamani nmeipenda

salhiayasri
Автор

Waooo leten chap mpo makonki watu itapendeza

zaharasayyid
Автор

Jamani iko poa Nime muona tesa fanya utuwekee tafadhal

aminamsomali
Автор

Hii muvi ilisha igizwa miaka ya nyuma kidogo imerudiwa tens kama nakumbuka baadhi ya vipande

bahatirashidi