Shaka, Heri, Dina na Fifi Katika mpangilio wa Bi Lena! – Nyavu | Maisha Magic Bongo

preview_player
Показать описание
Katika mipango ya Heri kuhusu Ida, anasababisha Shaka kutekwa nyara na kupewa kazi ili Awache tabia zake duni za ulevi na kuhangaisha jamii. Stoni anajaribu kumshawishi Fifi akiogopa sana hasira zake. Dina anawapata wakijadiliana!

---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hiyo nyimbo jina lake laitwaje plz mwenye kujua

akinyimkoba
Автор

😆😆😆😆😆
Nimecheka kwa sauti baba Dina umejua kunifurahisha

elizabethsebastian
Автор

Naomba muniletee nyavu ep 10/11/12/13/14/ mpaka ep 50

khairatnassir
Автор

Jmn mngenitumia nyavu na sikukuu hii . Ningeinyoi . Hlf mnasem atupnd filamu ya kibongo kwsbb mnacherewsh mpk hamu inaisha

waheedawaheeda
Автор

Uyo Fifi alionyesha anamfunilia stom gauni like anamtega kwenye episode iliyopita lakini hapo anaonyesha kuwa ana uadui hataki hata kumsikia, what do you mean

janethmosha
Автор

Jmn nyavu menitumia ambayo nishaion aise naipnda sn . Fifi htr na tino

waheedawaheeda