Uovu wa Ston – Nyavu | Maisha Magic Bongo

preview_player
Показать описание
Fifi anajikuta hoteli bila fahamu ya yaliyotendeka. Baada ya Ston kumbaka Fifi, anarudi nyumbani na kumdhulumu mke wake kwa maneno machungu kabisa! Ulikosa vipindi vya wiki hii? Highlights ndizo hizi!

---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ida umenenepa mpk raha, yaani mmetueudishia wasanii wazamani wote, hongereni sana

m.mmarckus
Автор

Waoooh nawapendea hapo tu maisha magic 😍😅

khadijaomar
Автор

Hongereni sana ila mume waida ajaingiana na mume mulevi nime soea kumwona kwa ma ofice kama mukurugenzi fulani ama boss mwingine. hapo wanguvu but hongera kutuelimisha.🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

salomemukani
Автор

Mimi napenda huo wimbo wenu sijui naupataje niweke ringtone

matildaraphael