Manengo Ft Stamina & Mr blue - Bomba ipepee (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#Manengo #Bombaipepee #Stamina #MrBlue #SlideDigital

(C) Free Nations

Manengo Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Manengo

Raphael Charles Lucas popularly known as Manengo,is an hiphop artist in Tanzania (Recording Artist/ Music composer). He was born 1995 in the city Mwanza .Manengo has achieved massive gains through his mostly liked songs “ Bomba Ipepee, warm up/ warm up remix and a lot of nice songs which are doing great in east Africa

Follow Manengo on:

Habari●

Jirani●

Kwaheri●

Mbuzi●

Warm up●

Hayana Jipya●

Warm up remix●
Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ngoma kali
Ira huyu manengo ndio kwanza gonga like km umeielewA
Bomba ipepee

mathewsephraim
Автор

Nani kagundua ngoma Kali... Kabla hujamsikia Blue na stamina

BONGO_FILAMU
Автор

Hataukienda Mozambique watakuambia kua nauza chai ya rangi 😂😂 atari sana

anasio-hi
Автор

mko na bahati saaana Mr Blue hajachana hpo ndani cz mgefunikwa vinoma...love from 254

zezenature
Автор

Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee Noma Sana 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

dishangib
Автор

rock city similiki demu similiki shem💥💥💥✍✍✍dogo unaandika sana utawauwa

kevincray
Автор

wazee wa doria Tujuane hapaaa...Team Hip hop no bana bana pua na vidole juu hapa

shozylamparboom
Автор

Rock city iz in the house..raphael manengo ngoma kali umeuwa

abduljumbetfujujgfypuujjiu
Автор

"wambieni watabiri wa ndoto mi hiz ndoto znanionea, maana nkilala na mto huwa naotaga naogelea, na ununda wangu wote cjawahi kwenda segerea, gheto navuta subira kuliko poda na mmea"

rajabumatuwira
Автор

Mziki wa bongo jitaid kuwa na easy name bro...huoni kinachowaghalimu watt wa kiba wote majina yao yamekuwa mazito kwa mashabiki

madraxnative
Автор

😂😂😂😂😂Amenikimbia MWANZA kaenda TABORA kaliwa
wapi like za @MANENGO

christophersoty
Автор

Niko bar nakunywa pombe magufuli😎😎😎😎😎manengo

sefusai
Автор

Pole sana mnafiki Mr yuda mbele angu huwezi tamba"

Naona unapoteza muda kama mshenga wa dogo janja"

Bba lao jeshi la watu wafupi heshima Sana

tomplexbrigedier
Автор

Kiukweli stamina unakipaji unajua nini unafanya kazi nzuri sana

mathiasmkude
Автор

Unapoteza muda kama mshenga wa dogo janja 😂😂 like kwa stamina

hmatta
Автор

"Nipo Kenya napewa papajones na kaligraph". Manengo

bujiboytz
Автор

Manengo nakukubali sanaa hyo umeua zaid ya kwa mbinde salute kwa wanaa mkuyun mwanza @Jimmy tz adolf beat

musaally
Автор

yani mmeuwa kinoma kabisa iyi nyimbo kali kiukweli hip pop halisi

ramadhanminani
Автор

Wewewewewe!! Naona mmepenya kisa mkali weni kaimba coras ila maan na mm nikilalaliaga MTO huwa

amolove_tzamolove_tz
Автор

wambien watabir wa ndoto, izi ndoto mimi zinanione mana nikilalaga na mto naota naogelea

sadcommpalestina