Bando MC x Billnass - Chama La Wana(Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#newmusic #bando #trending #newmusic
(C) Slide Digital

Bando MC Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Bando MC x Billnass
Audio produced by BEAR BEATZ
Video Directed by DEO ABEL

Follow Bando On:

Channel Administered by Slide Digital
Комментарии
Автор

Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️

dishangib
Автор

Wangapi wanao muona Bando mbali zaidi ya apo

kadothekhantz
Автор

Fanya hivi STAMINA rudia hii ngoma uchane mwanzo mwisho bila chorus coz unajua kuliko we mwenyewe.Halafu Bando we sio Rahisi

straightkonect
Автор

Hiv nyie wana hip hop mnatoaga wapi haya maneno ?? 😂😂😂😂 eti ukiona najichuwa ujue nawashwa sehem eti wanao fika kileleni gar huwaga wana pandia wapi ??😂😂😂 Napenda Hip hop kama na wwe wapenda like hapa

officialmrdeo
Автор

Acha tumalize Bando, mana ngoma yenyew kali sas tufanyaje, , Umetisha Kaka

giftkiladay
Автор

'Unaposema akili nywele niambie zipi nisinyoe'
Bars after bars! 🔥🔥Chumba changu saa hii kimegeuka jela!😂 😂
#254 KE

michaelrapando
Автор

BANDO MC NDO THE NEXT BIG THIN 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 unajuaa sanaaa

lossoMovies
Автор

Naombeni like hata kumi tu! Bando nitumie namba man nimepoteza sim mi masai

ggbclassic
Автор

Huyo dogo aloanza kuimba anajua sana....na atafika mbareeee

chachatz
Автор

nimeona sehem wameandika USIKOJOE HAPA kwenye hii video

ggbclassic
Автор

hii kali demu wako akilala na dela ujue kuna mtu anaenda kuchambwa ndotoni😁😁😁gonga like kama umeukubari mstar huu

RickChazy
Автор

Pamoja bando wanao wa mabibo makutano hapa respect kwako

jameswilson
Автор

Bando uko poa sana nimekujua kupitia dakika 10 za maangamiz ulivyo💯💯💯 angamiza ngoma n Kali stamina ameua hata nenga amemaliza 🔥

razkidy
Автор

tunao kubali Bando anatusua tuonane hata kwa like moja moja

jamespetro
Автор

Nakupenda sana bando unachana vzr unapenda kazi yako unajua mie nataka kunya kunyanyua mauki hapo huwa sina mbavu

shannymussa
Автор

Bando aise n mashine ingine brother big up sana👏👏👏👏

mcburah
Автор

Me ndo yule ostadhi bishoo mpak kanz navalia mlegezo kam umekubali weka like twende saw

witnessanga
Автор

Hatari izi ngoma. Eti Diamond hawezi izi ni kali. Mond aibe taharabu tuu

georgebidance
Автор

Muislam anaswali ila jibu analo Mungu😂😂🙌🏻🙌🏻

missdija
Автор

Nakukubali sana bro south Africa Pretoria

NEG-B