KITABU CHA HENOKO KILICHOPIGWA MARUFUKU KATIKA BIBLIA, KINA SIRI ya KUSHTUA... | THE BRAIN FOOD

preview_player
Показать описание
KITABU CHA HENOKO KILICHOPIGWA MARUFUKU KATIKA BIBLIA, KINA SIRI ya KUSHTUA... | THE BRAIN FOOD

Biblia inawataja watu wa wili, ambao inasemekana hawakuwahi kuonja ladha ya kifo tangu kuumbwa kwao kwa karne nyingi zilizopita hadi leo hii.
Miongoni mwa hao, anatajwa Henocko kuwa ni binadamu aliyekuwa akitembea na Mungu.

Huyo, aliwabadili watu kutoka katika uovu na kumuelekea mungu, alikuwa mnyenyekevu mwenye busara na Mtenda haki. Lakini roho ya ushetani ikataka kumuingia. Mungu akamnyakua na kutoweka duniani kabla ya kifo chake kufika. Na anatajwa kuwa hai mpaka leo hii.

Kitabu chake kinachofundisha watu uchawi na ushetani katika Biblia. Kitabu hicho Kikafuta na kufichwa.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Muogopeni Mungu, soma biblia vzur acha kuchanganya ukweli na uongo, utahukumiwa kwa kwa kila neno lako liwe jema au baya

jamesimanwel
Автор

mungu alimpenda honoko kwa sababu alikua anatembea na mungu ukisoma kitabu cha biblia inasema kila andiko lafaa kwa mafundisho ya ulimeengu

FelisianMalaso
Автор

Good work, keep up.Don't stop.say it to the top of your voice. You represent all people even us Christians

joelthuo
Автор

asante sana zidi kufanya utafit birakusikiriza maneno.

AbdallahJuma-rklb
Автор

Tunashukuru sana Mungu azidi kukutumikisha

claudeclaude
Автор

Asante kwa elimu nzuri kumbe yeye ndo alibuni kalamu.

boniventuredaud
Автор

Global tv poleni sana kwa utafiti huu!

Gwa-Kayaga
Автор

Nimesoma mwenyewe kitabu hiki wala sikuona uchawi wala ushetani humo ndani. Henoko, (Enoch) ameshuhudiwa kuwa mtu alie eneda na Mungu hivi kwamba Mungu kamuchuku akiwa hai wala hakufa kama ilivyo desituri ya wana adamu wote. Mtu yeyote aweza kuagiza na kujisomea kitabu hiki kweye mitandao.

franciswanyoike
Автор

Kunamwanafunzi alikua anaitw henoko, duh nomaaaa

HappinessKitosi
Автор

Kazi nzuri.Enoch anatafsiriwa na bhaadhi ya Wachungaji kuwa miongoni mwa washuhuda wawili watakao rudi siku za mwisho na kumpinga mpinga kristu Enoch na Elijah wanatabiriwa kurudi cku za mwisho sababu kwa bibilia inasomeka Washuhuda wa mwisho watakao rudi kumpinga mpinga kristu watakuwa watu wawili ambao hawakukufa.Watarudi kumpinga mpinga Kristu na kisha kuuliwa mji mtakatifu wa Jerusalemu kutokana na wafuasi wa dini ya mpinga Kristu, na wengi kusherekea duniani na kupeana zawadi lakini watafufuka baada ya cku 3 wa Yohana

PeterMx-yoln
Автор

Asante kwa elimu hii kumbe Enoch ndio aliyebuni kalamu and kuandika biblia yake..

Famau-re
Автор

Enok ikombingini nimalaika mubengine bamalaika

dinairenge
Автор

Shukuran kaka, mwenye ataki kusikilisa aende baali, tufuze chenye unanjua na mwenye ataki kusikilisa aende baali sio lazima asikilise,

cosmasnzioki
Автор

Unadimulia vizuri, nikikusikia kwa mbali nafananisha sauti yako na Professor Jamal Mustapha wa the Story Book ya Wasafi TV na Wasafi FM

boscomtani
Автор

Kasi nzuri, Mungu wa mbinguni atukuswe

HillaryBiketi-dftt
Автор

Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
22 Henoko akaenda pamoja na Mungu baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana, waume na wake.
23 Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano.
24 Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.

johnambrose
Автор

Kwa mm sis mungu ametupunguzia miaka Sana??

anitharroger
Автор

Kwanini mungu awaluhusu mbwa hao hii nimewahi kusikia kwa jamal wa wasafi

shizoshop
Автор

Halo unachanganya maandiko ya vitabu vinne tofauti vinavyopingana kabisa unajalibu kuhadaa mioyo ya watoto wachanga

bethkatunx
Автор

Elijah ni Yohana mbatizaji, Enock hajulikani na mwanadamu hatima yake kwa sababu hadi wa leo hakuna aliyeona kaburi “ lake ila alikuwa mtumishi wa Mungu na aliyempendeza sana na hakumkubali aonje mauti.
Mungu alimpandisha mbinguni; hakuwa mchawi wala muovu, Mungu hapeani rehema zake kwa waovu namna ya wachawi au majoni: hiyo basi Mungu ni Msafi tena Mtakatifu....!

jobnabiyeh