ALICHOWAHI KUJIBU P FUNK KUHUSU PAULA NA KAJALA KUSHAMBULIWA MTANDAONI 'NILIMWAMBIA, HAKUNISIKILIZA'

preview_player
Показать описание
Producer Mkongwe P Funk Majani ambaye pia ni Mzazi mwenza na Kajala kupitia mtoto wao Paula aliwahi kuhojiwa na Millard Ayo kuhusu mtoto wake Paula na Kajala kushambuliwa mtandaoni, majibu yake yalikuwa haya.. PLAY kumsikiliza.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Af baba mtoto Ni mtu mmoja mwenye upeo wa Hali ya juu. Jamaa anajua kuongea, like zake apa

kpetres
Автор

I real appreciate produza p, funk...natamani nifanye nae album...salute sana legend produza

jcomanartist
Автор

katika maisha kosea utakapokosea ila jitahidi usikosee kuchagua mwanamke mwema wa kukuzalia na kukulelea watoto wako, wanawake ni muhimili mkubwa ktk malezi, mtoto anakaa ktk tumbo la mama, ananyonya ziwa la mama, na muda mwingi yupo karibu na mama so anachukua asilimia kubwa ya tabia za mama kuliko baba, so ukikosa mama mwema mtoto mwema ni majaaliwa ya mungu kumpata,

abubakarsuleman
Автор

Siku zote maji hufuata mkondo.
1. Ukiwa nyoka utazaa nyoka.
2. Malezi tunayo wapa watoto wetu huko mbele yana matokeo.
3. Mifano ya maisha tunayoishi siku zote yana ushawishi kwa watoto na jamii inayotuzunguka.
Ushauri:
Vijana wetu hasa kizazi hiki uhuru mulionao utumieni vizuri maana kuna msemo kuwa" Freedom is not free" usipo utunza vizuri uhuru wako utaukolofisha" abuse". Uhuru unatakiwa ulindwe maana kuwa huru siyo kujiachilia kwa kila jambo.
2. Sisi wazee kuna mahali tukubali kwamba tumeshindwa hasa katika malezi. Tumewaachia uhuru bila mipaka vijana/watoto wetu kiasi kwamba mambo wanayofanya si tu aibu kwao bali hata sisi pia.
3. Baadhi yao wamepata vipato ambavyo hawakutegemea na wala familia zao hazikuwahi kuzifikia, hilo limeqazalia ulimbukeni, viburi, dharau kiasi kwamba hawapokei ushauri wowote.
Viongozi wetu wa dini nao tumelifelisha taifa, hawa wanatakiwa kulilea taifa katika maadili mema, lakini tumejikita kwenye mafundisho ya kufanikiwa na kweli vijana wamefanikiwa ki vitu( materially) lakini kimaadili ( morally) wako chumba mahututi( ICU).
MUNGU ATUSAIDIE

joelrugano
Автор

Iv like zina faida gan aisee
Name naomben hizo like nione

moobrown
Автор

Kitu naona P Anaumia sana nivile hawezi sema sana. But inaonekana hana nafasi kwenye maisha ya Paula, hiyo ni kitu kibaya sana.

marimabumushi
Автор

Thats big true kajala kamuaribu mwenyewe mwanae kwa kutaka kumfanya mtoto kuwa staa kma yeye wakat alijua bdo ni mwanafunz pia nmamruhusu bint bint yke kuvaa nguo za nusu uchi na kupost kwenye mitandao ya kijamii this is bongo mama siyo mambele walimwengu watafanya juu chin wamwaribie maisha mim ni mama pia ila ukweli utabaki kuwa ukweli mama kachangia kwa asimia kubwa kumwaribu mwanae

jescazablon
Автор

#aboi_4rm_makambako like km umeelewa kuwa majani hashoboke ujinga ujinga

xaverisunday
Автор

well said big producer, mazaa tumuache apambane.
mwanakuliFIND mwanakuliGET

jujo_master
Автор

Ngoma inaanza 01:50 kwingine ni intro tu

daudinungwana
Автор

Kuna hila zinaendelea hapo za wasanii kwa kwa wasanii wenyewe mwisho atajulikana lengo Ni nini haswa 🤔🤔🙄🙄

juliejaphet
Автор

Mimi naongea kama mtu niliyona wiv na nautetea wivu wangu, sikubaliani na alichokifanya RAYVAN angekula kimyakimya ila sio kuibua ujinga ufahar na kuniringishia mm. 😡😡😡😡

jabilingandule
Автор

Kinyang.anyiro mama na mtoto wanashindana kudet nawanaume

janethfugamila
Автор

Wanawake sio wote wabaya hila wanatuumiiza hasa tunapofall in Love

kalumbugideon
Автор

Mama Hana maadir Asa ye ujings wake a naweka hatharani je amfunza nn mwanae jinga tyu mama

shabankhamis
Автор

Aisee sikia tu MTU amemla amemla mwanao au dada. Panauma ka uko timamu. Usilete porojo kwenye ukweli. Ni hatari mno.

edimanmsigala
Автор

Shida sio kutembea na mtu yule mtoto wa kike ni ngumu kunfutilia kila wakati sana huwo umri mbaya, rayvany kafanya vibaya kumpost vile bila idhin yke

allthingdranabeauty
Автор

Sisi tanataka interview ya sasa na sio hiyo yako yazamani mtangazaji umetukera sana 😁😁😁😁😁😁

Noah-seni
Автор

kama nikufungwa afungwe tu mm nilikuwa shabiki yake but umeniudhi sana na alichokifanya 🇰🇪uache bby mama wako ufanye ujinga kwenye mitandao pumbavu sana

qatarqqt
Автор

Eti paula na kajala kushambuliwa🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

bxsportshd