PROFESSOR JAY BADO ANAMPENDA P FUNK MAJANI | SITAKI KULIPWA MIL 100

preview_player
Показать описание
Professor Jay amezungumza na XXL na kutolea maelezo Tweet yake kuhusu pesa alizo lipwa Majani na Disney vile vile kutambulisha wimbo wao "HAULE" akiwa na wadogo zake BlackRyno na Koli.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Prof j Wa mitulinga nakukubali sana tangu enzi zile za tanga kwenye kampuni fulani ya simu ukipiga kazi na umekuwa mnyoofu Wa maneno tangu wakati ile unaongea na kufikiri at the same time!hongera broo legend!

mohamedsasma
Автор

Mkononi sina Tatoo bali ni alama ya ndui, Mtanzania no1 machungu mpaka asubuh, Mchaka mchaka nakimbiza kila upande, simtumikii kafili ili chat yangu ipande, , , 💪🏻 Prof J msanii wangu boraaa kabisa asee

emanuelleopod
Автор

I really like how u explain the point legend prof

papykatoziking
Автор

For me no one like u ur best rapper broo in Tz and east

kihagaletus
Автор

Nimemuelewa sana prof point yake majani kadevela but I think watakaa kuyaweka sawa wote ni malegendes ktk fani ya bongo flavour wana mchango mkubwa mpk kufika time hii

abdyhotty
Автор

Prof jize WA mituringa
Uko WA wadogo WA damu, chapa Kazi jamaa tangu shemsha bongo mpk sasa tuko pamoja

fubanjenjele
Автор

Wasanii wa saa hii ni wavivu wa kufikiri., wanakurupuka

petermwantole
Автор

Huyu dogo ajipange bado hajawa kwenye level zile Ila he's talented

carlosmzena
Автор

Jamani MARINDA Yapo yametulia hayajaguswa?

subirajohn
Автор

sasa nyie mliodislike ni ukoo wa majani nini?naona mmepanic hihihihiiii 😬😬😬😬😬😄

edwardsichilengwe
Автор

Dogo Raino Fanya mazoezi Mwili umekuwa mkubwa

aminirapa
Автор

The heavy weight. Anafikiria kabla ya kuongea.

dgt