MAJANI KATEMA CHECHE “NILISHAJITOA, PAULA ALINIAMBIA WEWE SIO BABA YANGU, KAJALA HAFAI KUITWA MAMA”

preview_player
Показать описание
NI Headlines za mkongwe na mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, P Funk ambae April 19, 2021 kupitia kipindi cha XXL alifunguka kuhusu yale yanayoendelea mitandaoni dhidi ya mtoto wake Paula na mzazi mwenzake Kajala.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pole sana majani kama mzazi lazima ajisikie vibaya

beautywithnay
Автор

sana mydd kajala adi mwanaume akitamka nilikoseasana kuzaa nahuyu mwanamke niatar sana MWENYENZI MUNGU AWASIMAMIEE

junuferjinu
Автор

Hongera zako producer wangu bora kuwahi tokea Tanzania. Wamzi wako ni mzuri na nakuonga mkono 100%, mtoto hawezi kukukataa halafu uendelee kuwa responsible naye hiyo sio sawa. Yeye amesema wewe sio Baba ake basi itoshe wewe kuwa pembeni, na kwahili usikute Mama ake alisha wahi mwambia Baba ake ni nani na sio Majani. Vivyo hivyo ampeleke kwahuyo Baba ake.

issackchalahani
Автор

Pole sana Majani huyu Paula ameshakuwa Malaya kwa hiyo kumrekebisha kwa sasa ni kazi ngumu, wahenga walisema samaki mkunje angali mbichi huyu ni samaki ameshakauka hakunjiki kwa sasa na mm yake amemharibu huyu binti kwa hiyo wakukaumiwa ni mama yake. Mtoto kama mtoto huwezi kumwambia baba yako eti wewe sio baba yangu hayo ni maneno anapandikizwa na mama yake Ila ipo ck atakukumbuka na atakutafuta pia.

elizabethmwandu
Автор

Mtoto akikosea lazima akanywe na mzazi...mtoto unatoa wap ujasiri wa kumuambia mzazi wako wa kiume wewe sio mzazi wangu...wababa hawataki ujinga mana unayofany ni kumvua nguo kwa jamii...mung nitunzie baba yangu

lovehawa
Автор

Ooh nice! hakika ww ni baba bora. Wale watafuta rahana tu...

kennedykiwia
Автор

Baba fala san huyu pindi mdogo mama anahangaika mwenyew sasa amekua ndo unajitokeza😢

FaustaSulle
Автор

Duh!! Dady Anajiraumu sanaa Kuzaa na Mwanamke Asio na Upeo

zuwinaalamri
Автор

Kumbe kitoto chenyewe kina laana yababa🤔

josej
Автор

Binafsi P funck Hanijui but nimeamini Duniani kunawatu na Busala zao huyu Dingi anabusala ni sikiliza saana videos zake ila akina Mama naludia tena akina Mama Mungu anawaona Huo upuuzi na usili na watoto Mungu Hana likizo na hapumziki anawaona, pole p funk agood father limeni gusa

jovinezekiel
Автор

Amehongea kituhu huzima 🙏🙏🙏 kamponda bibi kidude

ibrackibrahim
Автор

Mmmmh IV Paula ni mweus kumbe xo now anatumia mkorogo au ndo snap tena

fatumaabdallah
Автор

Kajala hana malezi bora kwa mwanae🤨baba ndo kashatowa tamko hausiki nauyo mtoto🤗 aki pole kajala

giftihemedi
Автор

Mkubwa P majani ameongea kwa hisia mno hadi huzuni, pole sana mzee

yohanamuumbe
Автор

Umeongea vizuri sana kama mwanaume walio post mitandaoni ndie walio koseya.

Noah-seni
Автор

Majanga kwakweli, Allah nilindie kizazi changu 🙏

saumusalimuhassan
Автор

Big up brother ....you talk like a man

ayubukedimundi
Автор

Duuh hiki ni kipindi cha hesabu kwakweli mbona kigumu ivo

homeofvideos
Автор

Bro umeongea maneno ya ekima na busara

mussaagrey
Автор

Acheni walimwengu Wafanye kazi yao sasa

mhanatz
visit shbcf.ru