Buki - Ikitokea (Official Lyrics Video)

preview_player
Показать описание
#ikitokea #Buki #hitsong
Produced by Morebeatz
M&M Mocco genius

For Bookings:

Connect With Buki On:

Listen on other Platforms:

Lyrics:
Mungu aliumba mbalamwezi kwenye giza ili twangaze
Kaumba jua kaumba miti
Kwa kivuli tujibanze
Dunia kaipamba na mapenzi
Mi na wewe tupendane
Hakuyaumba machozi
Ili mradi tutulizane
Nimezipata salamu
Kwa minal ibirisi
Kashanyooshwa
kalimiss Langu penzi
Kabla hujanipa utamu naomba umtumie msg Ajue umenikatazwa
Mazoea na Maex
Nakama ikitokea Naikitokea
Mi niko peponi naikitokea
We Uko motoni
Naikitokea Nitakufata naikitokea ooh ikitokea Naikitokea
Moyo wako haudundi tena
Naikitokea Basi wangu hauna mana Naikitokea
Nautoa Nakupa Nautadunda papapapariraraa parirara
Papapapariraraaa pararararaa X2

Ukiacha gubu wivu ndo udhaifu wake
Amenikataza mazoea Najinsia yake
Yeye ndotwabibu mimi ndo udugu wake hataki masihara kabisa nautamu wake
Nikimpata muugwana Anayenijali mie yalaaah
Mapenzi yangu dhamana siwezi kucheat mie yalaaah
Nakua boya naNg’ang’ana Nanyenyekea mie
Waulize marafiki zangu wananijua mie
Nakama ikitokea naikitokea
Mi nikopeponi
Naikitokea we upo motoni ii nitakufata
Ooh ikitokea moyo wako audundi tena basi wangu hauna mana aah nautoa nakupa nautadunda papapapariraraa papaparararaa x2
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dah! Support yenu ni kubwa sana, Nawashukuru sana!
Niambie, umependa nini kwenye huu wimbo. Nasoma comments na nitajibu
Usisahau kuLike, Comment, Subscribe na kushare.
Follow me on Instagram


Tiktok

buki_tz
Автор

Nilianza kukufuatilia kwny sound effect ya Kivyere had sasa ww ndo msanii wng bora, unajua kaka

Allah akufanyie wepes bro

allymohammed
Автор

Buki your the best singer kwa nyimbo za mapenzi mkimbize Jaymelody

abdulsaira
Автор

Hapo kwenye peponi kumfata motoni mmmh kwangu ngumu chezea moto ww

JumaShaban-ecki
Автор

Buki uwaga nakukubalig sana kaka ila uwa unakawiya kutoa ngoma mpy kwann❤❤

CONNECTION_TZ
Автор

❤❤❤❤😂kabla hujanipa utaamu naomba umtumie meseji ajue umenikataza mazoea na maEx🎉🎉🎉🎉🎉 much luv kwa buki kma umependa gonga like ukisonga

Talbaramz
Автор

Mwanangu weeeehh ushajipata tayari hakuna cha kwenda wasafi wala nn utapoteza mashabiki si unajuwa kuna mboso pale tulia kaka💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥

rason_tz
Автор

Love from 🇰🇪.. keep it up the sky is the limit

salmambarak
Автор

Hii talented ilitakiwa iwepo wasafi angezidi kua mbali zaidi mafanikio makubwa dhidi yake dahh unajua Sana buki

SaidiSuleiman-nx
Автор

buki uko juuuu miaka mia nane 🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲 tuko La na twakwelewa sana

mosesthuranira
Автор

Buki tz nakukumbali kwa nyimbo zako waniosha, kila nikisikiliza nasikia nafsi yangu niko peponi ❤❤❤❤ kwaushahuri wangu usindaganywe na lebo yoyote kama WCB, king music 🎶 🎵 ar Kode geng tayari ulisha jipata God bless you everything ❤❤❤❤❤❤❤

asmanabdul
Автор

Buki si my favorite singer Broo keep it up yes you can🎉❤bro unamfunika kaka yako mbosso kwenye moment of love song❤Mziki wetu halisi ndio huo uko 🔥

KhaleedZapy
Автор

Ngoma ni Kali kakaa. Imejaa ipo full package. Hiki ni chakula cha uongo. God bless you bro

OmaryMohamed-ljek
Автор

Kwenye pita zangu nikasikia huu wimbo jamn something nice

cresensiamadunda
Автор

Asiyeelewa asielewe tuu but #Buki uko juu tuu sana. Ngoma zako zimetulia na kwa hii ndio umeua kabisa, , , 1 ❤ from 🇰🇪, big up bro

abdulkaym
Автор

Ahh mistali kama ya mbosso ahhh mapenzi haya❤❤❤

omarymichael
Автор

Tunakusikia sana msa kenya usibadilishe style hio hio brother buki

brothersalim
Автор

Verse ya kwanza kali sanaa mungu aliumba mabalamwezi kwenye giza lituanagaze akumba jua akumba miti maneno makali melody kali sanaa kazi imeshiba mwanangu

EmmanuelMwakyusa-ts
Автор

0:40 Ikitokea moyo wangu haudundi ... Nakupa Wangu.... Maana yake ntakufa Kwa ajili Yako, ,, hiii Ngoma Kali sana kaka Napenda sikia kazi Zako mungu akuongoze ufikie malengo🎉🎉🎉🎉 fighting

alternativendully
Автор

Big up bro... Hili goma nilikuwa nalisubiria mda kweli

ahmedawadh
visit shbcf.ru