P FUNK MAJANI AMCHANA DIAMOND: WANA DIDIMIZA WASANII / MIKATABA INAWAANGAMIZA WCB

preview_player
Показать описание
Habari zenu. Karibu tena kwenye chaneli ya YouTube ya Bongo5. Katika video hii, nina furaha kuwasilisha "P FUNK MAJANI AMCHANA DIAMOND: WANA DIDIMIZA WASANII / MIKATABA INAWAANGAMIZA WCB"

Natumai mtafurahia video hii na mtaona kuwa ina manufaa. Ikiwa unapenda video hii, tafadhali hakikisha kuangalia video zangu zingine. Tafadhali hakikisha umependa na kujiandikisha kwenye chaneli yetu kwa video zaidi na gonga kengele ya arifa 🔔 ili uweze kuarifiwa kuhusu maudhui yote yajayo. Usisahau kushiriki na marafiki na familia yako. Ningependa kusikia maoni yako, kwa hivyo toa maoni yako hapa chini. Asante kwa kuangalia.

Video Zilizopendekezwa:

✅ NANDY NA GAUNI LA MAMILIONI AKIOLEWA NA NANDY:

✅ MACHOZI YA NANDY BAADA YA KUOLEWA NA BILLNASS:

✅ UTAPENDA BILLNASS NA NANDY AKIINGIA KANISANI KUFUNGA NDOA:

Hashtag Husika:
#Bongo5 #PFUNKMAJANI #AMCHANA #DIAMOND #WANADIDIMIZAWASANII #MIKATABAINAWAANGAMIZA #WCB #Bongo5Update #bongo5updates
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

nakukubari majani p fank zamani mziki ulikua unaheshima sana tofauti na sasa

amorally
Автор

Bonge la producer hajawah tokea kama huyu big up p funk

shafiimohamedi
Автор

Nadhani kuna mambo lazima yawekwe wazi zaidi ili jamii ielewe.
Uwekezaji unaofanywa na wcb kwa wasanii wake na uwekezaji unaofanywa na Bongo records kwa wasanii wake ukoje ili tuelewe kwanini wengine lebo inachukua 70% na msanii wao 30% wakati wengine lebo inachukua 30% na msanii anachukua 70%

Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na hila pia hii lebo inayompa msanii wao 70% akafanyiwa figisu asishine ili ionekane sio mzuri ...Na yawezekana lebo inayochukua 70% inampa msanii vitu ambavo kweli vinaendana
Kwahiyo ktk hili lazima Elimu itolewe ili tujue tunaongelea nini na sio ushabiki

mussamsella
Автор

Kama umeona p fuck ana saut kama ya fid Q, ,gonga like

bujashidaniel
Автор

WCB haikandamizi wasani...ili wasanii wakue inabid label ibaki na % kubwa kushinda msanii...just imagine rapcha anabaki na 70% label 30% af anategemea kuwa na high budget video au ku shoot nje au collable nje...haiwezekani...
Kwa iyo 30% usitegemee label ikakupeleka ulaya....

richbyser
Автор

Amna kitu wew majani point zako.... Cz watu watumie pesa nyingi halafu useme wanadidimizwa uwekezaji wao unapaswa kutambua upo juu tofauti na wenu

mwinyijumamtoo
Автор

Dunia haijawai kuwa fair, na maisha ni kuchagua

kwzjkwz
Автор

Hili jinga sana limenyonya wasanii wa zamani eti leo hii linajua haki za Cassini!!

antonysaimon
Автор

Mbona kama sijamuelewa vile majani kamaanisha nini wakati huo huo anakubali ila ngoja tuone wstalisongeshaje hilu game
Ila wakumbuke wslikuepo sijui walikwama wapi ila leo wataweza
Kweli mda mwingine unaona kabisa hii sio roho nzuri kws hali hiyo mziki ws bongo nikusubiri hadi yesu arudi
Watu wsmejaa chuki hata wakizungumza tu unasoma picha

yasrearafat
Автор

Lebo gani kubwa East Africa? Msanii mgani mkubwa East Africa? Lebo gani imetoa hits nyingi? Lebo gani imetoa wasanii wakubwa wengi? Lebo gani imekunyanganya Bibi? Lebo gani imekunyanganya mtoto? Ogopa wasafi

romakoko
Автор

Nimejaribu kuangalia acount za watu walio comment mabaya kwa p funk ni watoto wa 2000 hawajui kitu ni bora ukae kmy tu .msikilize mtu muelewe anazungumza nn sio unacoment usenge big up p funk

abubakariddy
Автор

Sahh baba p tunaweka ushabiki Sana kuliko kutaka kuifikisha Sanaa mbele ndio Mana wenye Nia madhubut wakiona wanatukanwa hivi wanaamua kukaa kimya kwenda sawa na akili za wajuaji akili kubwa

catherinekiwipa
Автор

Hili lenyewe Jambazi kuu la zamani tu, , tena wewe ulikua una wapiga kina profesa, nature na wengine ngumi na makofi.

abednego
Автор

😀😀 daah xaxa hao wako wasionyonywa akina rapcha wana nn mkuu

danieljs
Автор

Mbona kaongea vzr sana afu watu wameichukulia tofaut

berthamahangila
Автор

SASA MAJANI, HUYO ALIYETANGULIA KAENDA FREE. MAJANI UNAMPA 70 KWA SABABU HANA PLATFOROM KUBWA. UKIJA KWENYE PAERSENT show million 10, means anachukua 7 million sio, WCB standard za sho 30, 000 ndani. 40% 12 million hiyo ni show tu .na inafahamika digital WCB wanauza sana .OK akipata 12 time 5 .means anakusanya 60 million. Huyo raptcher hizi pesa atazikusanya lini

jamessimba
Автор

P- FUNK !! Avoid the past mistake and prepare ur future. WCB achana nao utaumiza akili bure

ahmedaliahmedahmed
Автор

Wakati unamuomba ampost Patricia hukuona ukandamizaji

siliviasimon
Автор

P funk acha kelele bro wasafi imepambana hadi leo kupeleka mziki wa bongo fleva mbali saana acha kelele zako na ubaki kwenye kaji brother

worklifenews
Автор

P funk funga domo lako juya daimond platnamz Simba unalolote wewe uwezi shindana Na mukubwa fella babu tale wala Salama skey

josephsimba