PICCO KIKONGWE AMJIBU P FUNK MAJANI,,,DIAMOND ACHA AWANYONYE TU WASANII WAKE,,,SINA UKARIBU NAE..

preview_player
Показать описание
#pfunkmajani #wasafimedia #diamondplatnumz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi kizaz mungu akupe nguvu ufikie malengo

DatuBakary-inut
Автор

Big up xana kikongwe .una hekima xana KATIKA wasanii weee no 1

kaluluu
Автор

Jama hekima nyingi🙌ishi sana bro pico huna baya kaka🤝

daudhassanjr
Автор

Wasanii wcb wakiambiwa walipe milioni 500 wanalipa wasanii wa p fank wakiambiwa walipe hata laki tu Havana sasa unamlaumu vipi diamond pratnam

nasramkungwa
Автор

Dah bro wewe zaidi ya (teachers) salute 👏 🙌 🙏 👌 ndani ya US

salimronaldo
Автор

Kumbe mwamba yupo haha noma sana ule wimbo wa bibikize adi sasa na vibe nayo

thelonewolf
Автор

Majibu ya mtu mweye hekima na busara... Tuishi nayo hiyo kwamba wasanii wenyewe ndo wanatakiwa kulalamika kua wananyonywa.

captenndunga
Автор

🤣🤣🤣P Funk kachemka sana, huyu ni mmoja ya mashahidi wa maisha ya wasanii waliopita kwake je anao uwezo wa kuvunja mkataba wa Milioni 500 ka wafanyavyo akina Harmonize au Rayvany? Maana yake Diamond aheshimiwe kama ambavyo serikali imeamua kumheshimu kwa Kila hatua apigayo, wangelipata wapi hiyo mihela yote ka c Simba na WCB yake

agogomgagagigigogo
Автор

Picco acha wa owanee waoooo nakubali hutaki ushahidi
Maneno yako nibusara wasani wakifate uwap ushauri

nevers
Автор

Safi Sana unajielewa Sana majibu yamesimama

husseinkakanga
Автор

Kaka nakukubari rudi kwenye game broo sauti bado ipo

frankfelix
Автор

Am t
TZ upo vizur rudi kwenye gem tunakusubir LIKE👍

ucjvvjcjjvih
Автор

Picco umeongea vzr sn, umeonyesha ww nn kaka mkwa

coolzeddy_official
Автор

THIS MAN IS VERY INTELLIGENT.
MAY GOD BLESS HIM. 🙏 🙏

SAM_
Автор

Anawasema wenzie wanawanyonya wasanii anasahau yeye kipindi chake alikua mungu

camposomsasani
Автор

Hiyo ngoma inaitwa nasema nao kuna vocco ya kikongwe hapo

frankfelix
Автор

Huyu mtangazaji anatafuta watu wa kumuattack majani maswali yake yanashinikizo kwa anaehojiwa

ibraheemqassim
Автор

Mnatqkiww kuhoji wt wenye hakim I km hawa sonahiji mastar je ustahi juma na musoma mwijqku

nishaabdula
Автор

Ila maripota wa bongo... Especially hawa maripota uchwara wa online tv wana unafki sana... Kazi kutafuta watu wagombane tu

badmanno.