MISSION IMPOSSIBLE [26]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jaman tumpe sifa zake mama ngwengwe mwanamke kajiamin kacheza vzr sana

SikujuaMwesua-nsfn
Автор

Waaoo Leo nimewah wanao mkubali chado masta na kama tupo pamoja Toka episode 1 hadi hapa tulipo fikia gonga like tujuane tusonge mbele🎉🎉🎉🎉

Hadijawashuma
Автор

Kaz nzur sn Mr chado, tunaomba mtuwaishie muendelezo❤ alafu ningependekeza najma kila kipande awepo maana ananikoshaaa😅 r i p bkra😭

MwadawaSalum
Автор

Mama ngwengwe anaushauri mzuri Kwa najma nan mwingine aliyeona gong like tujuane 🎉🎉

ZabibuMaulid
Автор

Jamn mjombaake mbuz mwenyew tai y red nmempenda had silali❤❤😂😂😂😂😂😂😂nmechek balaa😅😅😂😂

ZubeidaMohammed-yf
Автор

Na mm naombeni izo like ingawa sijui zinatumikaje 😢❤❤

ZahiraMpangausi
Автор

leo cjamuona chado kabisa yani hadi nimemmiss aisee sema fanyeni mpango muwe mnatoa hata vipande viwili viwili maana movie ni kali sana

ashuraally-cd
Автор

Tunashukuru sana chado master kwa kutupa vitu kwa wakati

IreneIsambi
Автор

Nampenda mama ngwengwe ananikosha sna mwenzenu from oman

Noora-lpjx
Автор

Chado umetisha mwanangu Alf hii movie isiwahi kuisha na ikiisha mtoe season 2❤❤ bigus kwa ngadaya, hanifer, kidem jau, ngwengwe, cheusi na alidadii 😂😂😂alidadii waambie hii mbombo ingafu...🎉😂Alf ngadaya waambie hii haiguswii

homseofficial
Автор

Jaman kaka chordo 🎉🎉🎉mi Leo wakwanza nawapenda naomba like zenu

AnnaMayombya
Автор

Wanangu wote ambao bado tunafatilia problem 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 laiki apa usipolaiki nitamwambia chado

AllyBabu-krlg
Автор

Kama una kubali kua chado masters ana tupa vitu kwawaka unao stahili basi usipite bila kumu like chado

JustineSilukala-iond
Автор

Basii muwe mnatoa kila siku kipande kimoja kimoja jmn😢

JustinMarcus-hw
Автор

Kama unamukubali ratifa nipe like zangu from tanzanian❤️❤️

Misobanyha
Автор

Mwanangu anifa umicheza vzl
Umemtetea kinoma halafu
Hile gaun ya kisomari ambayo
Nimenunua kwako ipo good
Mkewangu ameipenda ipo saiz

TALLUBOY
Автор

Kazi nzuri San timu chado sema mnachelewa sana kutuma next episode boresheni kidogo kazi iwahi

FatumaMatola-treu
Автор

Naipenda. Hii. Falm. Vibaya. Mno. Chado. Hingereni. Kwa. Hii. Flm😊

AshaShapan
Автор

😀😀😀😀 najma bn anafurhsha ety sji ten kwako weee huogpi😄😄😄😄 utaenda mwenywe hko kwa kitengo ngja upone kaz nzur san chado zidi kutultea utam

mwanahawabedui-ck
Автор

Wow nyinyi wote muliyo ingiza Muko sawa I love this from USA

ShakilaOrienne