Z Anto - Nichape (Official Video)

preview_player
Показать описание
#ZAnto#Nichape#Ngommakenyanlovesong

Channel Administered by Ngomma VAS Limited. ©2020
Nichape Love song kutoka kwa Z Anto video inamuonesha aliyekuwa mke wake wa ndoa Sandra Khan (Binti kiziwi ) baada ya kutoka kutumikia kifungo Nchini China, Nichape inazungumzia Mwanaume aliyempa nafasi Mpenzi wake na ridhaa juu ya Maisha yao kuwa amfanye atakacho ktk mapenz kwa jinsi anavyompenda.

Audio: imetengenezwa na BLAZA na Mazuu
Video: imefanyika Tanzania chini ya Kwetu Studios.

Instagram : @z_antoofficial
Facebook : Anto Malavdav
Twiter : zantoofficial
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daaah umerudi tena binti kiziw wetu kama uli mmic gonga rike 👇👇👇

jordanjonas
Автор

Kigeni nlichokiona kwa Z Anto ni kwamba hazeeki kabisa, yuko vile vile tangu kipindi cha mpenzi jini na binti kiziwi. Sauti pia iko vile vile jamaa anaonekana anajitunza sana afu maisha hayajampiga kivile kama wasanii wenzie wa kitambo. Hongera kaka

haysanhassan
Автор

Kama umeona Z anto kaludi vizuli gonga like from 🇧🇮🇧🇮

divadaqueen
Автор

Daah ngoma kali Sana Goga like Kama unamkubali z Anto nichape nichape

salumkiombo
Автор

kazi poa THE LEGENDARY KAMA UNAKUBALI MZIKI WA Z-ANTON CHAPA LIKE ROHO SAFI

trippokarts
Автор

Mambo shega..z anto umegrow kweli..mtoto katulia freshy namkubali

denomwakavi
Автор

Like Kama umegundua z anto ni handsome

janembawala
Автор

Uwezo wako sio wa Big G Z Anto...! Haya sasa Ona hata Mungu ametia Baraka zake na umeonyesha upendo kwa Huyo dada japo Ametokea matatzon, mastaa wengine Wabongo wangemuona Bint kiziwi amekuja nahawafai, tupia mfululizo

sumadashsumadash
Автор

Mdogo wangu sitobadili msimamo wangu wakusema wewe unajua na nifundi wa fleva..Kama ni mbio Mwaka huu naona utawaachia Vumbi watu wa nyuma yako..
Congratulations brother

lapozzydone
Автор

Wimbo mzuri ila machozi kidogo yanitoke "jela siyo mwisho wa maisha".

njemuyegela
Автор

Mdundo umetulia kinyama I say...safi sana z anton, msalimie sandra a.k.a binti kiziwi

abdulkadirgafla
Автор

Nimefurah video queen alivyokua binti kiziwi 💕💕💕💕💕💕

zainabubakari
Автор

This guy can't sing without this lady wow🤔🇰🇪

maureenamunga
Автор

Hili bonge la ngoma mm mwenyew nalirudia. Uchawi kidogo tuu apa ulitajika

bilalikoba
Автор

Jamaa wewe fundi.mie msanii toka Kenya nakubali venye unaenda na wakati.
Wewe ni legend jamaa🔥🔥🔥

ryankashkashella
Автор

Ulikaa sana Bwana bila kutowa nyimbo after binti kiziwi sikukusikia tena

joleenmasha
Автор

Endelea toa nyimbo..mara kwa mara usikimye tutaskiza
Number one 🇹🇿 toka enzi zileeee😍
🇰🇪🇹🇿🤝

paulpastries
Автор

Ebana una sauti Hadi unaboaa....
Kwambali Kama Jay melody hiviii..
Plus vinanda flan Kama ngoma ya kihindi, ....
This is a hit !!#nichape

geralddisbord
Автор

Tumsaport z wetu arud tena vzuri kweny nafasi za juu gome limetulia likes kwa wingi tumsaport kisiwa cha malavidav

manyweretv
Автор

umefanya wimbo na kumtumia vixen wako wa zmn.... kama ni ukumbusho kwa kle kzr ambacho mlfanya 2007 na kikakubalika sana asa kwnn ucngetoa remix bint kiziwi na kufanya nae hyo hyo vixen wako.... me namn ingependeza zaidi.

alimjaka