Z anto - Sumu baridi (official music video)

preview_player
Показать описание
Sumu baridi official video now available in all digital platforms follow the links below



SOCIAL NETWORKS



FOR BOOKINGS

•+255 6867 08750
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ngoma Kali Kama unamkubali Z Anto gonga like hapa

samsonjohn
Автор

Oya uyu jamaa anajua ban tumpeni maua yake wallah 🎉😊

cardoalbert
Автор

yabroo nakukubari hatari tunajivunia kigamboni kwajiriako endereya kufanya kweri kaka

omarnurdin
Автор

This song is so underrated, i wish I could view it a million times just to add the views

lucielucie
Автор

Niliwahi sema kitambo tuu ukiacha Mond... Huyu ndio msanii wangu bora anayefuatia... Bonge la ngoma Bonge la chupa... Pls Tim Z tujuane hapa

geofreyanania
Автор

I wish Tanzanians would be listening to Kenyan songs the way we listen to their music.

orindalastborn
Автор

I can feel the pain of being betrayed by the one you love the great song mob love+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

margaretwainaina
Автор

Pessa Ikiwa, Kwenye Mziki Muda hupiti... Kaza kaza kaza tu... Rudisha Hiyo yazamani kwakisasa Itapitatuuuh!!! Heshim Nduguyangu @Dochmuzik /Kampala DRCongo #NextLevel Confirmed Z Anto

dochdodava
Автор

Very good to see wasanii wa kitambo kiasi bouncing back, well done Z Anto, nyinyi ndio mlifanya Kenya tukapenda Muziki ya bongo. 🔥🔥

ndirangurukwaro
Автор

Nakuelewa sana pacha wangu minipo igunga nafanana nawe kinoma yani tume pishana sauti za kuimba tu napenda mziki wako

frenkdaud
Автор

Blood umeua sanaaa hiiii kaka much love

vjkesaofficial
Автор

Bado Broo unaweza kipaji kiko Rudy kwa game

mikelongq
Автор

Anko binti kiziwa hadi saiii nakufollow u nevaa disappointed naaah salute hello tu binti kiziwiii🇰🇪🇰🇪

ikeedaudi
Автор

Dah wenye bongo flavour yao wamerudi🔥🔥🔥🇰🇪✔

beautyforall
Автор

Bro upo vzr snaa ila toa nyimbo nyingi tyuu piga like

westonyjob
Автор

Ngoma ipoa sana rudi kwenye game bila kuchoka

allynkaya
Автор

Z anton chochote ufanyalo haina dosari bado nampenda z Anton yangu binti kiziwi Hadi sumu baridi

elianobushtherendillerocks
Автор

Heshima kwako damu yangu umetisha nimependa njia

rasmbegu
Автор

Z anto full talent habahatishi hajawahi kuniangusha kabisa
Like zake tafadhali

President-seed
Автор

Umenifanya niwe naroho mbaya naona niwale wale umenimalizaga

rahmaramadhan