MKE WA Z ANTO: #Z ANTO AMETELEKEZA WATOTO AMEENDA KWA WASTARA..

preview_player
Показать описание
#TOPLEVELTZ
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kama kunaaliyemuona huyu dem kafanana na nand kama nilivomuona me gonga like

esterkimario
Автор

Dada Sarah Burtony uko vile vile sura ya kitoto, smart and lovely #schoolMate

Ohhvio
Автор

Wew ni mzuri sana jmn lea watoto wako hata ucjl Mungu atakupa riziki yako kwa wakat wake

julytito
Автор

Msichana mrembo sana nanajua kuongea vzr mcheshi mashaallah Allah akubariki we we na vizazi vyako na akufungulie miangaza mema dadaangu

tifahfauzia
Автор

Poa roho yako hivo hivo wewe ni mzuri sana natural mungu atakupa rizki ingine yenye kheri na wewe

safiyasafiya
Автор

Mwanamke mzuri natural na hana magarama ya Salon wala expensive make up

rehemasalim
Автор

My God, she’s sooo pretty❤️❤️❤️ tena watoto 3 atakuja kujuta huyo z anto

pichunakichuna
Автор

Inauma sana pale unaishi n mtu na mnafanikiwa kupata watoto alafu mmoja wenu anakimbia yani inauma sana tena sana

jafarirashidi
Автор

Nampongeza huju muandishi masuala yameenda shule professional na yupo cheming sana, big up bro

mwanaharusialifakifaki
Автор

Ongera dada... Kwanza we mzuri una ekima una ujasiri....

rachelmikey
Автор

Nimempenda huyu dada mstaarabu na ni mrembo sana

rahmaabdulrahmaabdul
Автор

Mashallaah nimekupenda jinsi unavyo jua kujielezaa

habibarashid
Автор

Ila mdg wng mungu atakulipia ulijitoa sana kwa Z hadi kwenye msiba wa mama Z, , , na tulikupinga kuhusu kubadili dini kuolewa na Z, , achana na media mdg wangu wew mtumishi wizara ya mambo ndani

claramray
Автор

Nakupenda sana mdowangu unamajibu yabusara sana muache huyo mtu mzima anaelopoka maneno machafu mtumzima ovyo

mokejohn
Автор

We Dada ni mzur.tulia Lea watoto.ila zd umeeacha kichunaa umeenda kwa bb

liliankiondo
Автор

Umemuacha mwanamke mzuri anahangaika na uyo zee la kuolewa na kuachika ayaaa aendelee na kurukaruka ipo siku atatulia yakimkuta yakumkuta😂😂😂😂😂😂 wanawake unaobebabeba awo wenzio wamewachezea wamewaacha ok you will see

helenamwaipopo
Автор

Daaa jamani huyu Dada ni mzuri sana sijui z-anto anakwama wapi kumuacha dada mzuri hivi?Dada huyu ana hekima na busara sana, ana akili nyingi sana.

elizabethmwandu
Автор

Nakupenda bule mama malik wangu ujege kigamboni nikusuke tena

davideusebio
Автор

Z Sanyo huyu ndio mke huko unahangaika tu jamani Tulsa tu at arudi mwenyewe

aminanzeyimana
Автор

Uyo Z wanawake wote wanamuachaga Yeye tuuu, Ana shida uyo

husnabiltonsanga