Diamond Platnumz Ft Zuchu - Mtasubiri (Music Video)

preview_player
Показать описание
Get The Song👇👇👇

Track No. 4 From First Of All EP
#Mtasubiri feat @officialzuchu

Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #Mtasubiri #FOA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

OHOOO, ZUCHU NAKUPENDA HAKIKA HUU WIMBO UMEUTEKA KWAKWELI KILA WAKATI NAMUIMBIA BEBI WANGU NAMUULIZA HIVI UNANIPENDA NA UNANITAKA PIA, KANIJIBU NDIYO... NAOMBA MNIPE LIKE ZAKE HAPA

KibweOnlineTv
Автор

One thing about this artist Diamond Platnumz is that he never disappoints. Keep singing, my dear. I'm following you from the Ivory Coast 🇨🇮. God bless and protect you and everybody reading this comment now.

elysee_daleba
Автор

Hii ndio baba lao kama shabiki kindaki ndaki wa mond like hapa

plantamedia
Автор

My wife is Tanzanian so I am blessed to have her and Diamond in my life. ❤😊

jamesstewart
Автор

Love the first scene, It’s good to see Minaki high school & Kisarawe! We have to promote Africa with everything we got. 🇹🇿🌍

SWAHILINATION
Автор

I'm leaving this comment here so when anyone likes it i come back and listen to this amazing song again!!.mad love from kenya 🇰🇪

Ianohlyrics
Автор

East Africa and Africa in general we lay in your hands bro unatupelekea Swahili nation mbali Dana zidishiwa kaka unaupiga mwingi sana🔥🔥💯🌟we love you bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪nakupenda sana Mimi tucky prince naachia comment apo mwenye atailike nirudi niskize wimbo tena

tuckyprince
Автор

Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtangoja)
Mtasubiri sana mtasubi
(Wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana mtasubi
(Vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana mtasubi
Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Nakuniridhia (Mnmhn)
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Manaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtakesha)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtandike jamvi mukae)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtatungoja sana)
Mtasubiri sana mtasubi
Wanasema eti Umeniroga
"Nikweli ila inawahusu nini"
Hunipendi Unanichuna
"Nikweli ila inawahusu nini"
Eti anasema wewe ni kicheche
"Nikweli ila inawahusu nini"
Utanichezea kesho uniache
"Nikweli ila inawahusu nini"

strongintelligent
Автор

My best African artist Diamond platnumz!!!! 🔥 🔥 Zambia!!

youngsantos
Автор

Tunajivunia kwa kuwa na lugha tamu ya kiswahili pia ahsante sana Diamond kwa kuiwakilisha vyema Tanzania 🇹🇿 na East Africa kwa ujumla

jacklinekanunu
Автор

Où sont les congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 qui aiment Platnumz ?aiment mon commentaire et je reviendrai voir la chanson de l'année pour l'amour inséparable. mtasubiri ila hatuachani sisi.

aimableassumani
Автор

The greatest chemistry in the history of Africa, , , lets show love here

Yasquizzy
Автор

Kenyans we are here again supporting our Tanzania brothers n sisters...wapi likes zetu... Tanzania tunawapenda na tunawataka pia...

lucywanyiri
Автор

Diamond is just a gift to the African continent 😊😊😇

culture_lyrics
Автор

Very sweet melody. Simba we salute you bro, Tunajivunia sana. wangapi hawaachi kuplay hii ngoma youtube kila wakiingia. tujuane

afrivisionmedia
Автор

We love you Diamond platnumz haujaituangusha ndo Maana huwa unakuwa WA kwanza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya twakutamani ungekua wetu

yunusabdallah
Автор

East Africa and Africa lies in the hands of this man...God protect you as you keep us entertained @Lion🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍🔥🔥

Victor-gmkp
Автор

Nimekuja baada ya kuskia Tz wamekufungia from#Niger

laizeronline
Автор

I don’t understand the language, but I feel like they’re singing about love and like it

bijoubah
Автор

TRUST ME BONGO FLAVA IS THE BEST MUSIC GENRE IN AFRICA🙌🏼🙌🏼❤️

imscometro