Viongozi wa Chadema wakitoka Segerea

preview_player
Показать описание
Viongozi wa chama Cha cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakitoka katika geti la Gereza la Segerea Jijini Dar es salaam baada ya kukamilisha taratibu zote zinazotakiwa.
Viongozi hao ni Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika, Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche, na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salumu Mwalimu.
#Chadema #Segerea #KesiViongoziChadema #ViongoziChademaJela

Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме