Mbowe, Esther Matiko Kula Sikukuu Gerezani

preview_player
Показать описание
MBOWE, Esther Matiko Kula Sikukuu Gerezani

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko imeahirishwa kesi yao ya uchochezi inayowakabili na viongozi wengine saba wa chama hicho hadi January 3, 2019

Washitakiwa wengine ni Mbunge wa Iringa mjini, Peter Msigwa, Mbunge wa Kibamba, John Mnyika, Katibu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji, Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya na Katibu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jaman hii mahakama inafanya sio sahihi ila mngu yupo ipo siku tutatoka kwenye uonevu huu

kondelaeliasmtotowasimba
Автор

Ningekuwa na uwezo wa kubadisha ningemtoa mbowe na kumpeleka msigwa mwenye akili kubwa

henryndosi