MBOWE, Mnyika, MDEE, HECHE Walivyotinga MAHAKAMANI LEO!

preview_player
Показать описание
MBOWE, Mnyika, MDEE, HECHE Walivyotinga MAHAKAMANI LEO!

Kesi inayowakabili viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) imesikilizwa tena leo Machi 14, katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba..

Kufuatia washtakiwa kukana makosa, Hakimu Thomas Simba ameisogeza mbele kesi hiyo mpaka Machj 28, katika mahakama hiyo...

#CHADEMAMAHAKAMANI

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu yu mwema mtapita tu kwenye hili tanuli la moto

fredreckmwakalinga