Kontawa X Tunda Man : Haina Kuchimba Dawa (official Audio)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ofkozi hii ngoma kali kubwa Kontawa umeuwa kinyama, beat kali la kinyamwezi kabisa, Tunda man kwenye Kiitikio na verse humo kaua mbaya inshort mmeitendea haki n kuna creativity kali sana

yuhomatvmedia
Автор

Team Kenya kujeni hapa tusupport hii talent 💪💪💪💪🇰🇪

MutuaCK
Автор

WANANGU WANAOMKUBALI KONTAWA gonga likes🔥🔥🔥🔥

namelessgraphix
Автор

Ngoma Kali Ila mmenikera kumdiss chibu

Heisfineboy
Автор

Siyo ves Wala korac mzee mbk bati mtu mzm umundan mmetish mby one ♥️my brother

noahmauzo
Автор

chipaka onthebeee nasikia kuna mchezaji wenzake wanamkanda

choloalberto
Автор

Nice beat nice lyrics love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

musaathuman
Автор

Whaaattt a fantastic music 🎵🔥🔥🔥🔥....kontawa never fake us...muhc big up💯✊🏾✊🏾

rehaniidd
Автор

Yaani Tunda man na @MrNay True boy wakiamua kupiga moja hivi itakuaje? Oya like.

ABCyber_
Автор

Contawa man ..hongerah saana....ungekuwa mbelee wangekuita Drake...sema basi tuu bongo nyosoo mpkaa kiki ndoo utoboe...ilaa man..unajuaa kilaa aina ya mziko mm mimekufatilia sanaa...hata siku ukiimbaaa sengeli sitoshngaa man....umaan unakipaji kikubwa saaan kwnye mzikoi

houdhafidh
Автор

Habari hii ifike kwa uyo mbwa rayvany mwambieni ahache kushindana na jeshii konde boy ni levo nyingine kama mziki umemshinda akalime viazi namkubali san kond

ramadhanibileya
Автор

na mTu mBAD mwenyew nimepinda nimeacha kutoka na zuchu natoka na HAHAHA BONGE LA

hdboytz
Автор

Kama Tulivokubaliana Kwamba Waache Waelewe Taratibu Badae Wakupe Ufalme Wako 🔥🔥🔥🔥🔥

officialsperospera
Автор

Hii Ngoma kontawa..angalia namna ya kuifanya ifike mbali aisee..hii ni ngom kali mnoo

nicholausmbilinyi
Автор

kali sana this is a different and new sound for tanzanaia big up tunda man 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 it sounds better than amapiano....

ababu
Автор

Duh bonge LA ujuz hongelen San San tunda bado unaish kwenye game ungez utundundu utaesabik kam namb Fran hv

lucasjames
Автор

Kontawa nipe sababu nisikupende bruda juu hauna kazi mbaya kwangu

Mado_Boy
Автор

Straight outa tiktok 💥💥💥
They nailed it 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

abigaelotenyo
Автор

Egwanga lye Uganda lisimye akayimba ke Tundaman kuvaa Tanzania 💪💪💪💪💪From Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

timothypengejoshua
Автор

Kwenye harakati za kutoka kachimba na viatu vyangu, jaman mmuache boss wetu

jaspertibilengwa