Harmonize - Mpaka Kesho (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Harmonize - AfroEast

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

#Harmonize #MpakaKesho #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii nyimbo mpaka rais mstaafu jakaya kikwete aliomba irudiwe siku ile kwenye uzinduzi wa album weka like za kutosha kwa kikwete hapa

majidsalum
Автор

Hii ndo tofauti ya harmonize na vitu vingine, huyu ni msanii anayekonga nyoyo za watu kwa kutunga vitu ambayo vipo kwa jamii, na ndio maana halisi ya artist. Sio unaimba vitu havieleweki yaani hadi vinakera .
Huyu #harmonize akiimba vitu vinaimbika na vinaeleweka. Big up sana young bro!

jabilingandule
Автор

Nimewai leo Toto bad. Like jmn Kama unamfuatilia Sana harmo love

mariamkamwela
Автор

ila huu wimbo Harmonize ulijua kuandika bwanaaa ♥️♥️♥️😭😭

rachelernest
Автор

Naamin mtoto w simba n simba unajua sn mpk unakera JESHiiii shout out to KONDE BOY 🔥🔥🔥

elydakota
Автор

Tokea enzi za na aiyola...tukaingia nambie WCB....tukawapigia Never give up....vijana tukatoka kwa baba sasa hivi tunajisimamia ....👊gang worldwide we never

cyrusthegreat
Автор

Napenda wimbo huu sana from South Sudan 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸

aguekthon
Автор

Mlitakiwa muweka ❤️❤️ kama sehemu ya like maana huu wimbo nauprndaa snaa yaaniii...love nyingi kwakoooo

epifaniasawaki
Автор

Muhunii yupo vizurii ndo mana wcb halito futika pengo lako km Kikwete raisi mstafu kakubali hii kazi aliomba mo ww nanii

azhadmasonic
Автор

Nyimbo nzuri maashaallah hongera sana mjeshi 🙏mungu akupe hitaji lamoyo wako

alimairakoze
Автор

Konde for life 💪🔥huyu jamaa mbunifu sana 💯 naangalia hii vidéo mpaka kesho 🔥🔥
likes mingi kwa mimi mars

munahamis
Автор

Huyu jama Ni Moto kabisa kua kila nyimbo anayo toa Ina hit kwa muda.

nduwimanaelie
Автор

Bro unajua jeshi ..gonga like twende sawa basi🇹🇿🇹🇿

benadetamassy
Автор

😥😥😥 linanikumbusha my 1 st love...I wish nikutane na yule atanifanya nimsahau...
Haki hata Mimi leo nipeni like ---254

kenyatv
Автор

Konde gang for every body, king of east Africa ...wapi likes za wakenya wezangu na Tanzania kwa jumla jameni

stevensgoldenboy
Автор

Tunaoukubali wimbo huu Hadi Leo 2024 wapi like za

ibrahimwaswa
Автор

254..mko wapi.. Support ya konde boy Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪gonga likes

aishadaud
Автор

Ngoma na videos tumekuachia harmonize hao I am jungu na WBC wajua kutongozana tu na gari. Chapa mziki tuenjoy 🤒🤒🤒🤒watu wa weed mko area🔥🔥🔥🔥🔥

kennastaffi
Автор

Naomba like ata moja jamono konde gang for everybody 🇰🇪 wakenya tujuane

sandrakateslopez
Автор

Vitu vizuri, mashauri yapatikana kwa Kond gang. courage mon grand frère je t'aime beaucoup.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

alikibardc