Darasa la muziki #6

preview_player
Показать описание
hapa utapata kuona jinsi key C inavyoundwa pia na kujikumbusha nyuzikaribu tujifunze.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Shukrani sana wetu teacher ila ombi langu ni kwamba ungetuundia whatsapp group kama wengine wanavyofanya !

imaniassumanikabengano
Автор

Napenda muziki kupita maelezo ingawa maishani sikubahatika kupata hiyo nafasi ya kujifunza ili niweze kufika nilitaka kufika

florajosembacho
Автор

Mwalim nisaidie kitu 1 mm najua key zote na ndugu zake ila ninamna gani nijifunze kutengeneza rizim

andasonjasson
Автор

Unawezaje kushika nyuzi mbili kwa kidole cha nne mm nashindwa

derimkongwa
Автор

Unapatiana wapi mamy unifundishe kwa vitendo

stivenrashid
Автор

Hivi kuna uwezekano wa kujifunza online jamani???

florajosembacho
Автор

Good nataka nijue ukitaka kupiga music Kwenye key ya c kwakutembeya vyumba vyote unafanyaje?

ferdinandnyobewumusi
Автор

Ukiachilia mbali mafunzo ya YouTube darasa lako lipo wapi nataka nije

taifanchimbi
Автор

Madam nimekuelewa vizuri sanaa ila ningejua sehemu nyingine ulipo tofauti na online ingekuwa poa sana ili nijifunze practical nataka nifikie angalau kwenye level nyingine

jacklinehosea
Автор

Xry teacher kam kuna group la whtxap labda ungetuadd cz mafunz yako mazur

godwintesha
Автор

Pls naomba mnitafute maana sioni number zenu

israelmark
Автор

Jaman mie bdo najifunza nisaidien ata kweny magroup no 0758042079

ragrmondmalulu