Alikiba - Mnyama (Simba SC Anthem)

preview_player
Показать описание

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Connect with Alikiba on Social Media:

Connect with Marioo on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

©2023 Kings Music Records.All Rights Reserved.

#Alikiba #Mnyama
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kati ya nyimbo moja kali sana ya timu iliwahi kutunga .kazi kwetu mashabiki kuimba kwa pamoja lupaso..❤❤❤

juliethmarealle
Автор

I'm Sudanese..I love Tanzanian people and Simba Club ❤ and this Song...
I'm a fan of Alhilal..Thanks Tanzania 🇹🇿 and people of Tanzania..Asante Sana 😊

bishazaroug
Автор

nakubali KING UNYAM NI MWINGI Ssio leo toka zamani

mohamedshariff-sx
Автор

Alikiba MNYAMA..ngoma kweli ni unyama..KING you kill it

globaltv_online
Автор

Alikiba ni artist mwenye IQ kubwa sana mwimbo Haujataja majina ya wachezaji, viongozi wala mtu yeyote kalijua Hilo maana mtu ataondoka lakini Simba itaendelea kuwepo. SIMBA NGUVU MOJA🦁🦁🦁🏆

ClementMakenzi-sfvn
Автор

Kwa kweli wimbo huu nimeukubali japokuwa mimi sio shabiki wa simba @alikiba fundi sana

MichaelErasto-qd
Автор

Mimi Yanga dam lakin kwa hili goma natoa kwa king kiba.. My favourate 😘

einotisambeke
Автор

Watoto wa Dar watoto wa Msimbazi dah!! ngoma kali mnoo from kwa Wahaya Bukoba.

neemaarex
Автор

Huu wimbo wetu wanamsimbazi wa muda up brother king kiba umewaza mbali sana kutomtaja mtu yeyote maana watu huja na kupita ila simba ipo milele

AthumaniMohamedi-bgij
Автор

Waoooo hiii kalii na ndio wimbo umevunja record YouTube kwa kuangaliwa na watu wengi kwa mda mfupi jmni naipenda Simba kwanzia SAs nahamia mnyama mnipokeee, naomben likes zangu

lowasameliyo
Автор

Aaah wee, unajua simba(mnyama)
Si huyo wa picha(mnyama)...the goosebumps modi alipata after hizo maneno😂😂😂
King Kiba twakumbali🇰🇪🇰🇪🇰🇪

PaulMaina-syfn
Автор

Ally Kiba sasa wimbo huu unaenda kuwa no. 1 kwenye trending. Raha ya Simba ndio hiyo, wale waliokuwa wanakubeza kwamba wao wanatrend wanaenda shushwa na hili dude, nakuhakikishia wimbo huu utakaa namba moja kwa zaidi ya wiki.

sadymwangondafreetalk
Автор

Jamanii kumekucha huku
Kweli king 👑 ni King 👑 tu 💯✅ hata waseme nini huyu jamaa Bado mkali sana 💯👌 acha Mungu awatie nguvu Kwa kazi nzuri 💯
Nice and good music 🎶💯 forever ♾️

boionemkenyaofficial
Автор

I can't wait uwanja utavyokuwa unaitikia MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA MNYAMA 🎉🎉🎉🎉🎉

teacherd
Автор

kidogo nidownload huu wimbo kwa utamu huu nikakumbuka mm Yanga nkaamua yaishe big watani kwa anthem kali Mungu awabariki wote Simba moja, Young Africans 💚 na timu zngne 🙏🙏

josephaugustine
Автор

Nilikuwa mshabiki wa yule mtoboa pua anaye jiita Simba kumbe uto rasimini sasa mimi ni mshabiki wa king kiba na king music kwa ujumla umenitendea haki kwenye chama langu na pia sio mtu wa sikendo. Allah akujahalieni kheir kwenye maisha yako ya music na maisha yako nje ya music. Hakika ngoma kali na itaishi kwenye vichwa vya wana Simba. Una baya 🦁🦁🦁💪 KING KING KING

BacaryMusheikh
Автор

Yaani nimeurudia kuusikiliza na kuutazama wimbo huu Mara ya ishirini leo...KING KIBA umetuheshimisha mjn aisee💪💪❤️❤️❤️

maishaubishi
Автор

My crushie 🥰 let me tell you Maina.. I usually see this Alikiba napata butterflys in my stomach 😅😅😅❤

NancyMaina-wuoh
Автор

Kama tunawezaaa kujazaa uwanjaa kwa siku 3 tunashindwa nn kuifanyaa hii ngoma kufikishaa views elf 60 mpakaa jpilii wanachanama na mashabikii wa mnyamaaa tuanzee kuifanyaa kuwa ya ajabuu tokaà leoo

jumajuma
Автор

Nahamia Simba kwazia Leo, mashabiki WA Simba naomba munipokee, 🏃 king kiba respect for you 🇲🇿🇲🇿

akatendaambrosio