Darassa feat Bien - Down for You (Track No.11)

preview_player
Показать описание
Music by Darassa featuring Bien performing "Down for You" (Track No.11 from the Album) Take Away the Pain, (c) 2025 exclusively licensed under CMG.

TAKE AWAY THE PAIN is an album with a theme that serves as a real weapon for the artist, using music to heal, entertain, and transform challenges into victories. This project is not just music; it is a mission to turn all negatives into positives. That’s why it is called Take Away The Pain by Mr. Burudani in English Mr. Entertainment.

Listen to Darassa on Digital Streaming:

Connect with Darassa on Social Media:

Written & Performed by:Darassa
+For More Information Booking Darassa:

©2025 CMG.All Rights Reserved

#Darassa #Bien #DownForYou
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Watanzania wenye wanaamini Bien is the best in East Africa wagonge like apa tukisonga

miqon_KE
Автор

Hii sasa ni darasa featuring bien ju wueh, wapii likes za bien wadau

emany
Автор

Wapi mashabiki damu wa BIEN 🇰🇪🇰🇪 na DARASSA 🇹🇿🇹🇿

mashabikiwaharmonize
Автор

Kama umefika kumsikiza the king himself mr baldman nipe like tukisonga, , , wameamua kutupa Tena song yao same kwa ya Mario😅🔥

EmmanuelMaroa-mx
Автор

Best songs in the Album

1. Darassa ft Bien
2. Darassa ft Mboso
3. Darasa ft Alikiba

But wapi likes za producer Eleeeh he is stamping his name in East Africa as best producer.

elementaccess
Автор

Wanangu wa kenya wap like ...ile bein anajua sana uyu msee tukumsupport atafika mbali 😂😂😂

Mwenehu_Tv_show
Автор

Bien to the world 🌍. .... Kenyans in the house 🏠 hit the button ✅

memusicena
Автор

Siku njema huonekana asubuhi guys yooh Bien🇰🇪🇰🇪🇰🇪thanks bringing our music back to the map

emmashmuziki
Автор

Mungu ni mkubwa hashindwi na lolote wangapi wanaamini mungu atawatendea makubwa huu mwaka wa 2025 🙏

khamsoleen
Автор

My favorite 🌟 star from Kenya. Enjoying your songs from 🇿🇲

SusanSakala-ej
Автор

Yaan ukiutaka mziki mzuri basi ni kwa hawa jamaaaa kuna kiswahili kimekaa vyema alafu kuna lugha ya kigeni nayo ifanyiwa kazi Ahsante Bien kwakumbariki Kaka yetu

JoachimSimbiga-oc
Автор

Kenya 🇰🇪 na Tanzania wakiungana wanatoa kitu cha moto sana❤❤🎉🎉

RaySwai-rvjk
Автор

Kama kunayeyote anajua Bien ni kipenzi cha Tanzania 🇹🇿 Weka ❤❤❤

MozzeOfficial-kxnh
Автор

Bien aime baraza ndo G. O. A. T. Of all times. Darasa pia unyama ulozidii bombooclaat

juicelove
Автор

Darassa always with his poetic eclectic vibe

africaunspoken
Автор

Beautiful song Rwandan we are here 🙌🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼😊

tuyizereetienne
Автор

Bien Is so good He makes peoples albums sound good... Salute King Bien

darimediaconcept
Автор

Yoh!!!!, , , , whaaaat a song, , , Bien manze, , , 😅😅😅 sauti zenu zimeenda shule, , , I love how you guys are effortless, , , wangapi tunareplay

bosconjoroge
Автор

Mm n Mtanzania kiukwel huyu Bien ni noma anajua sana

YasirIdrisa-cqln
Автор

Kigali we present ❤❤❤❤much love tz and ke

MUGAWUBUZIMATV
welcome to shbcf.ru