Elia Mtishibi - Siri Ya Maisha (Live Video)

preview_player
Показать описание
#EliaMtishibi #SIRIYAMAISHA #MANINCHRIST

Special THANKS NUMBER ONE GOES TO THE KING OF KINGS JESUS CHRIST THE MASTER!

AND THE TEAM!
Video and Lights by @SP VISUALS
Audio by @bnwproduction @sadock Elias
MD 1. Main @Erick Kanju
MD 2. Aux 1 @victor sebastian
MD 3. @Baraka kusula
Aux 2 @ James
Well arranged and bass guitar by @Pbass50
Drummer 1 @Erasto
Drummer 2 @Ibra
Lead guitar @Dan braga
aux post production by @keifer mdeme

Sopranos! @ Grace Friday , Jayne , sheila
Altos @Doreen,deborah akon ,Dokii sheason
Tenor @ Emma Robert,innocent haule , Stewart

Vocal Arranger @ BLESSED HANGO
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimesikiliza huu wimbo Mara 50 leo 😂 halafu nafurahi tu, “SIRI YA MAISHA YANGU NI YESU PEKEE, MNUNUZI WA NAFSI YANGU NI YESU PEKEE, NIMEMPENDA 🙏🏼🙌🏻

apostlemelkizedeckmsechu
Автор

His songs lyrics and music arrangement ina kuwaga of another level 👏 👏 👏

Wapi like frm kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

ministerlunas
Автор

Ikiwa maisha yako yanategemea kitu kingn huwezi elewa siri hii😊❤

Akeela_
Автор

Intro jamani! 🔥🔥🔥 Tuweke likes kwa wingi

Eddy-lt
Автор

Amekijaza kinywa changu na sifa zake 🔥🔥

Charity_Mbugua
Автор

This one ❤❤❤ Lyrical flow on point, , Vocal arrangement 👌Love from Kenya🇰🇪

cynthiaakomba
Автор

GOD BLESS YOU ELIA, KUNA MAHALI MUNGU ANAKUPELEKA NA HII KAZI YA KIFALME

apostlemelkizedeckmsechu
Автор

Siri ya maisha yng ni Yesu pekee nimependa bureee🎉ubarikiwe mtumishi

nyanjilaneke
Автор

Wapi vigelegeleeee❤❤❤❤❤🙌 Yesu azidi kukutumia zaidi na zaidi.

FurahaLusapi
Автор

We ni mtumishi Wa Mungu sio msaanii wa Nyimbo za Gospel uinuliwe Man Of God

Gabriel-upm
Автор

Jamani Bure, nimependa huyu Yesu jamani bure❤🎉

ElizabethSichalwe
Автор

Wanangu Pbass, victor na JayG aseee God Bless you. Mtishibi🎉🎉🎉

georgemanase
Автор

Mwamba wa wokovu wangu, nitashinda vita🙌🏾🔥🔥🔥❤️🫡..

Toppp🔥‼️‼️‼️

elohehatscharisma
Автор

Siri ya maisha yangu.
Jamani napenda huyu Yesu Bure!!!

BESTNEWS
Автор

Siri ya maisha yangu ni Yesu pekee🙏🏾🙏🏾🙏🏾

neysmillerndimbo
Автор

Kaka mtishibi 😅 Kuna namna your extraordinary 😅🙌🙌🙌

BarakaDanifordOfficial
Автор

Everything from this man is Extraordinary..
2025 Anthem for me what a declaration song 😊

bahatkisam
Автор

Ninae Yesu Mimi nimehakikisha Mwamba wa wokovu Mimi nitashinda vita💪💪

Nimempenda bure Jamanii bure🕺🕺

NoahJaphet
Автор

The intro...flowers manzee...the minister got moves🎉

enocksirya
Автор

Thank You for This Declaration MOG🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

CalvinJohnofficial