Elia Mtishibi Ft Bella Kombo - Nakujia (Official Live Video)

preview_player
Показать описание

1samwel 17:45 Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.

MWAKA HUU HATUENDI KIENYEJI
TUNAENDA KWA JINA LA BWANA NA MALANGO YAKUFUNGUKIE...
Nakujia by Elia Mtishibi ft Bella kombo karibu nisaidie kushea
Wimbo huu ulirekodiwa katika ibada ya #MANINCHRIST (MACHE2023) #THEFULLARMOUROFGOD ninaombi yangu ukafanyike ibada kwenye maisha yako..

Special Thanks 1st to JESUS THE KING
2nd to the team MUSICIANS
Md 2 @am_kusula on auxiliary
@hezekiahkalisti on layers
@Jerry on organs
@Amos belvin on bass
@Nahum gideon on Sollo
@Izack on rythm
@ibrahim on drum

Vocals Sopranos
@Jojo
@Glory
@mercy chilijila

Altos
@iam_milgel
@marry Fashola
@Catherine Sebastian

Tenor
@Emmanuel Robert
@Paul Peter
@Wisdom Stanslaus
@emma fransic

Audio capturing,mixing and mastering
@SADOCK ELIAS from B&W productions

Video production
@SP VISUALS

sound engineering
@Emmanuel Balisidya and Shepherd music Technology (Rhoden danda)

Uniform design
Suluvazi

Venue
New vine Church
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Maelekezo haya niliyapokea kwa Bwana kwajili Yakila mmoja atakaeamini. akasema Kabla ya mtu kufanya chochote kitamkie nakujia kwa jina la bwana i.e ukiamka tu Unakiri NINAKUJIA KWA JINA LA BWANA EWE SIKU YANGU, nakujia kwa jina la bwana Ewe BIASHARA YANGU.. fuata maelekezo haya na utakua shahidi wa Malango yako kufunguka

eliamtishibi
Автор

Ila Bella Kombo Anajua nyieee hadi kazid

GbpAud_King
Автор

Nakujia
By Elia Mtishibi ft Bella Kombo

Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee malango yangu
Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ewe kazi yangu
Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee malango yangu
Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee masomo yangu
Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee adui yangu

Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee malango yangu X4

Najua umejipanga vizuri kunikabili ewe Goliathi
Nawewe umasikini umejipanga sawasawa kunidhalilisha
Niimekuja sana kwa akili zangu, ukanishindaa
Ila amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana
ni juu ya vyote
Ila amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana
ni juu ya vyote

Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee malango yangu X4

Bwana ametupaa funguo za mbinguni, funguo za mbinguni
ALL: Funguo za mbinguni

Lolote lile tutakalo fungua hapa duniani na mbinguni
ALL: Limefunguliwa

Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee malango yangu
Ninakuja kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi

Nakujia kwa jina la Bwana
Bwana wa majeshi ee malango yangu X4

Malango yangu
ALL: Funguka, funguka, funguka
Funguka, kwa jina la Bwana X4

Wamtumainio Bwana ni kama
ALL: Mlima zayuni hawatatingizika
Milele Amina X4

johnwainaina
Автор

Bwana ametupa wimbo wa taifa kwa majira haya

pastorjerrykayla
Автор

Jamani tuwe makini tunapoandika Jina MUNGU AU BWANA kwani tunapaswa kuanza na herufi kubwa MUNGU awabariki wapendwa.

Bea-eifv
Автор

Ni kwa JINA LA YESU TU si vinginevyo
Glory to JESUS CHRIST

ushindileonard
Автор

Nakujia kwa jina la bwana bwana wa majeshi ewe ada ya chuoni kwangu🙏🏽... Nimekuja kwa akili zangu ukanishinda sasa naja kwa jina la aliye juu ya vyote...JINA LA YESU.🙌

Davidfinest
Автор

❤❤my best part "wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika"

mercychilijila
Автор

Drum iko very powerful there is power of God behind of it, Mbarikiwe Kazi nzuri sana

petermushi
Автор

This song is so powerful
Jana nmeusikiliza kupitia Zion impact redio wakatoa na neno la biblia waliousimamia
Suddenly i got hope from it, since then mpk saiv naimba huo wimbo ndan ya moyo wangu

1samwel 17:45❤

bahatkisam
Автор

Tanzania has good gospel artist. Tanzania is blessed.

mammyaswani
Автор

More Grace Bella ft Elia mungu awabariki Sanaa ... watching from Kenya

alexmaitha
Автор

, 😭😭😭😭 eiiii mimi nimeshiba kaka...this is powerful

Sylviaakoth
Автор

Aiiiih!!! This song!! 🙌🙌 May God bless you my brother Elijah... nakujia kwa jina la Bwana wa majeshii eeh masomo yangu sikia!! Maisha yangu funguka kwa jina la Bwana ❤❤

GraceMichael-jfpb
Автор

I love this song sichoki kuisikiliza kila siku kila saaa inanipa ujasiri Sana .... MUNGU awabariki Sana Sana kabisa❤❤❤❤❤

MadelekeYegelaDavid
Автор

Eish....what a combo....Nakujia kwa jina la Bwana wa majeshi eeh malango yangu

voliansifuna
Автор

Mlima wowote uliopo mbele yangu nasem Kwa jina la Bwana wa majeshi"

ConsolathaAmandus
Автор

Woow be blessed Elia, Bella I like this chemistry, namwona rafiki angu akimtukuza MUNGU my classmate Maria ❤, I Love you all, nakujia kwa jina la BWANA napokea piaa

catherinecharlz
Автор

Safi Sanaaaa . Kazi nzuri.. glory to God.. nawapenda sana. Yanii nimewaelewa. Mungu azidi kuwatumia zaidi... Karibuni sana ( Ukerewe) UK ya Mwanza..

DeboraKyembela
Автор

Nawapenda sana mbarikiwe na Jehova!! Mafuta ya Roho Mtakatifu yaongezeke zaid juu yenu!

deborasimon