MZEE ALIYEKIMBIWA na MKE KISA UMASKINI AJENGA NYUMBA ya MILIONI 300, ATAFUTA MKE, ATAJA NAMBA ZAKE..

preview_player
Показать описание
MZEE ALIYEKIMBIWA na MKE KISA UMASKINI AJENGA NYUMBA ya MILIONI 300, ATAFUTA MKE ATAJA NAMBA ZAKE..

Mzee Jumanne Kingu ni mkazi wa Mkonoo jijini Arusha ambaye aliwahi kuwa na tuhuma za kuwanyanyasa kijinsia watoto 22 na kesi yake ikapelekwa mahakamani na huko ikakosekana ushahidi kesi zake zote zilizokuwa zikimkabili zikafutwa.

Ameibuka na kudai kuwa watu wanamuonea wivu kutokana na mafanikio aliyonayo wanamuita Freemason.

Kutoka katika nyumba ya mbao hadi leo hii anajenga nyumba ya shilingi milioni 300 ya ghorofa.

Alikimbiwa na mke kutokana na umaskini, lakini kwa sasa anatafuta mke mwingine wa kumuoa...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu akuzidishie kipato, Waache waseme, Wewe fanya yako mzee wangu.

aishaamwalimu
Автор

Mungu akufanyie wepesi insha allah upate mke mwema Aamiin

sharifaabdala
Автор

Watu wengi wamekosa maarifa kila mafanikio ya mtu wao wanawaza uchawi yani tunahitaji ukombozi wa fikra pole sana baba Mungu akuzidishie kadri umwombavyo

زوهرها
Автор

Mungu Ni mwema akulinde akupe afya njema na mafanikio mema

Lanihsarumu
Автор

Mwenyezi Mungu akulinde na husda za walimwengu

shakilamasoud
Автор

MASHA ALLAH, ALLAH AKUZIDISHIE KHERI MZEE WANGU .

ahmedkandoro
Автор

Baba hao wote ni wivu na choyo roho mbaya mafidi wanataka mtu asipate ukae unaombaomba na wakuzarau kama mali ya kichawi bas wakatafute wao usiwasikilize ishi maisha yako na mwenyezi Mungu atakubaliki said 🎉

ZsbAlbarwani
Автор

Hongera baba, fanya kazi kwa bidii usiwasikilize wambeya wenye dhiki. Wafunge mkanda kama wewe.

nsiamasawe
Автор

Mashaallah mashaallah mwenyezi mungu akulinde na akujaaliye kila lenye kheri na baraka, akuepushie na Shari, husida Amin yaraby thumma Amin 🤲🙏🙏♥️♥️❤️

mariamyoyote
Автор

Mashallah Allah akupe mke mwenye hofu ya mungu inshallah 🤲

salmajuma
Автор

Hongera sana Mzee wangu walimwengu wanapenda maneno sana wewe songa mbele achana na maneno ya wakosaji ziba masikio kwa pamba mtu mwenye wivu na maendeleo ya mtu mwingine huyo ni mchawi

edinahmaganga
Автор

Mashallah hongera sana mzee wangu ila kwa hali unayotaftia mke kupata ni haraka sana utampata lkn je atakua ni mke mwema kama ndoto ya kila mwanaume au atakua ni mtu ambae ana wenzake akilini nakwambia hivyo kwa sababu wanawake ni cc kuna wengine watakupenda sababu ya mali ulizonazo tu lkn atakua hana mapenzi na ww…ww umpe kila anachokitaka yy atafute kibenteni cha kumsugua vzuri hayo nayo yapo ujue mzee wangu from kenya 🇰🇪 nawatch nikiwa Saudiarabia

khadijaali
Автор

Apana mtukuze Mwenyezi Mungu na tumia mda mwingi kumshukuru mwenyezi Mungu

davidjohn
Автор

Allah akusimamie usipate mke jambazi mzee wangu

abdulrisassy
Автор

Hongera sana mzee wangu kwa bidii. Utapata mkee mwema.

vincej
Автор

ASSALAAMU ALEYKUM MZEE YANGU FROM TZ .MY NAME IS SIDIK I AM LIVING IN UK LONDON 🇬🇧. I AM ORIGINAL FROM MOMBASA 🇰🇪 KENYA I AM PROUD OF YOU MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY FAMILY I KNOW YOU HAVE FAITH WITH OUR LOVELY ALLAH AND ALLAH WILL HELP YOU INSHALLAH DONT LISTEN TO PEOPLE SOME PEOPLE ARE NOT GOOD TO ME YOU ARE LIKE MY FATHER REMEMBER ME IN UR DUA UR SON SIDIK FROM UK WS

chinaboyzanzibar
Автор

Hongera mungu akujaalie Kila la kheri unataka mke mwenye sifa gani

hawahaji-sinw
Автор

Wadada Sasa Kama nawaona mzee kuwa makini wadada wa saivi ni hatar kabisa

efraimrichard
Автор

asante mungu kwa kuiyonyesha dunia kama unaweza kumpandisha umtakae na kumshusha umtakae

MHDFURNITURE-jnrx
Автор

Korumba niunganishe anioe niko tayari kuolewa naye, , inshaallah namini utapokea maoni yangu

aisharamadhani