MUME NA MKE WAMCHINJA MAMA MZAZI WAKIDAI NI MSHIRIKINA | AMESABABISHA KIFO CHA MTOTO WAO MDOGO..

preview_player
Показать описание
SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE

Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )

Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtihani yarabi tuhurumiye waja wako tunako elekeya ni kubaya

sabihahamadi
Автор

Huyo mwanamke ana roho ngumu kumuuwa mamaake . Imani potovu, imekuwa mtu akifa uchawi sijui tutakwenda kaa wapi Akhera kwa fitna hizi .

kiri
Автор

Mimi hata sisemi kwa sababu kila ukifungua simu unakutana na maajabu

maryamtanzania
Автор

Musoma wameokoka sasa wasukuma wageita wanaongoza kwa matukio

lucymchuma
Автор

Wanandoa hawa Wao ndio washirikina huenda walienda kwa mganga sasa watakiona

hadijayusuf
Автор

Sasa hapo ni kuchukua kesi ya tumbili na kumpelekea tembo aiamue! Kama ni mshirikina na wao wangetumia ushirikina vile vile! Ona sasa wameharibu! hawataonekana tena mtaani!

chifuthedoni
Автор

Hivi kuna nini mbona mauaji ni mengi jamani jifunzeni kusameheana

demicratia