SAM ONE - MWAMBA

preview_player
Показать описание
#samone #mwamba #mwambaclassic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mchana nimekuwa natafuta hii song, asante dogo uzidi kusonga mbele❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Wewe ni mwamba yaani 💪

DadyMaombi
Автор

Mdogo wangu endelea kujituma acha maringo pambana ili kukuza kipaji chako mwenyezi mungu yuko pamoja na wewe insha allah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kutoka 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kalemie

morishoissa
Автор

Much Love from Kenya for this young and talented Man

twinfredy
Автор

Yani dogo ameua sana tuuu yani anapita mule mule njia zile ni zile zile Rapp kama zote kama za baba yake stamina yani dogo umetisha sana tuuu unafaa upewe maua yako tuuu 🌹🌹🌹🌹

MohammedAwadh-gy
Автор

Aisee dogo huyu balaa🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾kazi safii sanaa dogoo🔥🔥🙌🏾🙏🏾

feloh
Автор

Dogo kwenye freestyle yuko vizuri sanaa ... hongeraa sana stamina mdogo

wilbardlameck
Автор

Daah hii nyimbo kaimba huyu dgo au stamina

AlexMoses-hk
Автор

Pambana sana dogo.. ngoma kali sana daaah

JacklineEdward-qi
Автор

Dogo nampa asili Mia kwa Mia, much love toka +254

GilbertShishy
Автор

Ukipata anayesimamiya kazi zako vizuri utatobowa

Fadhilimwamlima
Автор

Sam respect broh kutoka Burundi tunakusikiya endelea utafika mbalu

DésiréNibaruta-yc
Автор

Keep on doing young nakuona mbali sana kwenye game ya hiphop

JeshitrendingTv
Автор

Mwanangu wa Moro sina shida mjomba we ni mwamba mkali kinoma, just keep moving forward.

mwasoprince
Автор

Hii beat imeweza Sana😊
It's on replay on my play list
Dogo anadata na beat kama kawa

Uncle-F-
Автор

We mutoto unaweza aana hip hup nakubal hap biurundi, 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

jemizo
Автор

Dogo umejiongeza sana, hii song ni ubunifu mkubwa sana umefanya ili iwe hivi ilivo, big up sana dogo

ALIMASIEMMANUEL-mgev
Автор

Dogo unajua sana pamban najua wengine watakuchukia Ila mungu yupo upandewako pamban dogo unakipaji kikubwa

SamuelManiribuka
Автор

Hip hop ipo Salam kwa uyu mwamba big up same one mwamba less go

AmmyGmaker
Автор

I have never made comments on any song but he did the best my god protect these young niggah.

FilbertJackson-ie
Автор

Hio song, , jamaa mwamba kweli basi hazidi kitupea vitu vitamu kama hizi❤

onesmusmutunga