SAM ONE - MSOTO ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание
#samone #msoto #mwamba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dogo uko vizur sitamina kakitia sumu mpaka basi naomba like zangu mimi ndo wakwanza

MweusiAlly
Автор

Sam one unajua sana mdogo wetu napend sana kazi zako utafika mbali unyam mwingi 🎧🎤🙌🔥

ErickEzekiel-ljmu
Автор

Dogo nakukubali sana❤️🙌👏👏kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

LABO-bo
Автор

Dogo anaweza.
I wish uchukue beat za p funk majani.
Wewe umerudisha mziki wa bongo wa hip hop from kenya nakukubali sana

Uncle-F-
Автор

Unyama kijana representative from Kenya

RonackAluvala
Автор

Dogo toa Ngoma inayohusu ....watu kutekwa ...🔥🔥🔥Utaliokoa Taifa

Driverrapper
Автор

Dogo tunakubali... much love from Kenya 🇰🇪

EmmanuelMutunga-qw
Автор

Dogo unajua kinoma ila achakutumia vina vyamwisho tu nakuomba PIGA vina vyakati na mwisho utakua Bora zaidi yaapo🔥

LangxSheby
Автор

From Kenya🇰🇪 Salute kwa dogo, bonge la Talent kazaliwa🔥

visasatv
Автор

Yani ile support watanzania wanapeanaga acha tuu, ndo mana 🇰🇪 hatuez wafikia tz kimziki

emany
Автор

Hongera kijana kwa kipaji chako🔥🔥🔥🔥 umeniongezea nguvu za kwendelea kusapoti hip hop

EricNdayikengurukiye-mi
Автор

Stamina afanye kitu na huyu mdgo wake basi❤❤❤

simpleritiuspius
Автор

Amazing ❤❤❤
Dogoo Nakubali 🎉🎉🎉🎉 sanaa 2 From ✨✨
Coast 🎉🎉🎉

JohnRaperJohnRaper
Автор

Nakubali sana Dogo uko poa ile kinooooma. Just power it

Chida
Автор

Mm ni mwana hip hop dam nikikupitisha atakae kupinga bas ana chuk na ww

alfanboblice
Автор

Penzi jipya raha sana ona kaka @mbosso anavyotungiwa manyimbo hayo😊❤

Yah_Joeboe
Автор

Punch line kama za STAMINA dogo apewe maua yake🎉🎉

mwakshtv
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥 first comment 😊😊moto wa maana❤❤❤❤

lengoyamangoindakeni
Автор

Huyu dogo ukute stamina alimzaa huko nje ya ndoa sasa amepona aje kistaa kaka mkubwa umeona huyu mwanao

BeniadAjuna
Автор

Navyomkubal stamina Kwa 100% huyu dogo namkubal Kwa 200% 🎉🎉🎉

idrisamapesa