FREESTYLE RAP | MISTARI MIKALI YA SAMONE | KIPAJI KIPYA KWENYE TASNIA YA HIP HOP

preview_player
Показать описание
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV

Follow us on Social Media Platforms

Instagram:

Twitter (X):

Facebook:

TIKTOK:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

stamina asitufiche huyu ni mwanae kabisa, alafu si anatoka morogoro huyu😂😂😂

MehmetAshraf
Автор

The next Ngwear 🔥🔥🔥 Noma sanaaa Samone

EdwardKabologo-ei
Автор

Uyu dogo yupo safi sana kwenye mitandao wa tktop

MarronemletimletiMleti
Автор

Samone anakichwa chepesi sana cha kuelewa mtu anataka nini afu yupo chapu kwenye mistari yake 🔥🔥🔥

novoradio
Автор

Mtot wa stamina wanatuficha hawaa ndo yeye sauti stamina kabisa michano stamina kafanana kabisaaa😂😂

EmmanuelJulius-gg
Автор

CONFIDENCE kubwa sanaa Dogo big brain alafu wanampa kazi ngumu ila anaua🙌💥💥🙏🙏

infoplasimedia
Автор

Dunia ilikua inasubiri kipaji chake. Karibu ulingoni

Shafikimanga
Автор

Huyu dogo hatari sana tena sana ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

issashabani-cr
Автор

Nimempa maua yangu same as I was doing in primary school that time going to media power was difficult to reach. Big up for the opportunity.

phantyrhymes
Автор

Hahahahahahhaahah!! Daaah!! Kama sio mamba basi nikiboko

isaacuguzi
Автор

Oyaaaa Dogo anachapa freestyle kama mimi kabisa

officer
Автор

Dogo ni noma una kipaji san mungu akubarik upambanie kipaji chako

BoniphaceDonald
Автор

Huyu Dogo Tuache Masiara Flow Zake ni Balaa✅

Herloveseen_Tz
Автор

Huyu ni NOMA Sanaaa...Yaaani yeye ni YEYE hakuna wa kulinganishwa nae. Na hafanani na yoyotee

jiwahassantestimonies
Автор

Huyu dogo ni abari nyingine aise I salute the young boy nooooma

Chida
Автор

Pambana mdogo wangu pia masomo usisahau mungu akulinde akuepushe na shari

BenjaminyMihayo
Автор

WATANGAZAJI MMEPOA SANA HAMMPI MZUKA DOGO ILA DOGO ANAKIPAJI KIKUBWA SANA HUYO UKI MWANGALIA ANAVYO FLOW UNAWEZA SEMA NGWEA IS BACK 🔥🔥🔥🔥🔥

mecksonmatenga
Автор

Huyu dogo nimemfwatilia TikTok kwa mda mlefu sanaaaa anajua sanaaaa

niyongendakosamuel