Azam FC 5-2 KMKM | Magoli | Muungano Cup - 25/04/2024

preview_player
Показать описание
Tazama magoli yote saba yaliyofungwa kwenye mchezo wa Muungano Cup kati ya Azam FC dhidi ya KMKM ambayo ilimalizika kwa vijana wa Chamazi kushinda magoli 5-2.

Magoli ya Azam FC yamefungwa na Iddy Nado, Abdul Sopu, Nathaniel Chilambo na Idd Kichindo.

Magoli ya KMKM yamefungwa na Abdulrahman Ali
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Azam pg huyo kolo na ligi amalize nafc ya 4 mwakan aende shirikisho

nurudiniboayi
Автор

Timu yangu ya simba inatabia ya kuwa na uvivu wa kukaba km hii timu ya kmkm

geraldlyimo
Автор

Tupigieni makolo 5 tena tuweke mabango😊

RashidiMkongewa-hl
Автор

Bado simba kesho wanakula 5g nimekaaa pale

RashidiMkongewa-hl
Автор

Simba hata kama asiposhinda Bado ni quality more than them

MichaelLaizer-bpgt
Автор

msijariiii makolo anakufa vizurii tu make azam nawajua walivyo siriasi kutafta ubingwa kuli makolo😊

Ellyeliud
Автор

Azam fc tunaomba tupigieni Simba wakose makombe yote waende mwaka ndondo cup

RashidiMkongewa-hl
Автор

Azam kesho badilishen huyo kipa hapn kesho atatia aibu

nurudiniboayi
Автор

We unaeizarau simba et bola kuliko simba et watufunge matano utaona kesho simba wabov au.

DianaAbdalah-dz
Автор

Azam mumekuwa wasenge sana muna chelewa kuweka mechi toka Jana wasenge sana

yussufkhamis