Magoli | Biashara United 2-0 Azam FC | NBC Premier League 22/02/2022

preview_player
Показать описание
Azam FC imekula mweleka jijini Mwanza kwa kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Biashara United ukiwa ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

Magoli ya Biashara United yamefungwa na Collins Opare pamoja na James Shigara
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi sana piga hao wauza mikate hatujaja kushangaa basi sisi

saidsalum
Автор

Azam mna shida gani.
Team peke yenye kila kitu lakini hola

nyundomaster
Автор

Goal la pili ni goal la mwezi hili, Azam ninaimani wamejifunza jambo kuwa timu za ligi kuu zote ni bora, hivyo dharau hazifai

brightonchedego
Автор

Collins Opare, a big player for Biashara. Bravo

premax_official
Автор

Hii ndio Biashara utd, Azam na shosti wake walitoka patupu kwa chama hili big up, Biashara

adatusshijakulola
Автор

Km hcho kitawakuta na utopolo kesho panapomajaaliwa

binsaid
Автор

Badala mfanye mazoez nyinyi mnafanya tour ona sasa mmepigwa hamko serious nyng

adolphndandu
Автор

mpira ni kama maisha ya kupanda na kushuka

khalg
Автор

Siku zote mpira ni Mchezo wenye maamuzi makatili tena Magumu,
You never belive.

loishiyesamwel
Автор

Do!!! Wachezaji mbona mnatumia nguvu saana kushangilia?

selemankishema
Автор

Daaaah Siamni Aiseee, Kwani KOLA jana hajacheza???🙌

aloycesimon
Автор

Uyu jamaa Mara ya 3 naona kwamba anajua kufunga

aletiusosward
Автор

Coach national team
Opare aitwe tafadhali

muddymuzungu
Автор

Wanasema BIASHARA asubuh jioni ni mahesabu
Kipindi cha kwanza Kilikua 50-50 ila cha pili BIASHARA ilitawala mpira na kushambulia sana!
Poleni Azam najua wakati mna upload hii highlight mlikua na maumivu makali!

HONGERA BIASHARA KWA KUMALIZA BIASHARA MAPEMA⚽️⚽️⚽️

muddymuzungu
visit shbcf.ru