filmov
tv
ZABRON SINGERS - UKO SINGLE? (LYRIC VIDEO)
Показать описание
Upo Single ni wimbo mzuri uliotungwa na kuimbwa na @ZabronSingers kwa ajili ya wapendanao,...
Enjoy the lyric
Ukisikia ni harusi tufurahi
Maana sio rahisi kumpata
Vigezo huwa ni vingi kububali
Mara mfupi mweusi, simtaki
Wengine sitaki mweupe
Mara mi nataka mweusi
Hamjui mungu sitaki
Vigezo kwa vigezo
Sasa nimeshapata wangu kipenzi
Kipenzi cha roho yangu
Ndio huyu hapa leo
Namtambulisha kwenu
Uko single? Kapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi, yuko wapi? Ni mimi huoni twaendana
Je, uko single? Hapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Je, uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi tujue? Ni mimi huoni twaendana
Nishike mkono kipenzi
Kwangu wewe ndo kila kitu
Na leo ndio siku yetu
We mzuri kwangu
Kwa wazazi, ukapita
Moyo wangu ukapitisha
Na pastor amekubali
Tufunge ndoa yetu
Ona twapendeza
Tukitembea pamoja
Tuimbe pamoja
Na tufurahi pamoja
Ona hata watu wote
Mekasanyika hapa
Kutuweka pamoja
Tuje tuishi pamoja
Uko single? Kapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi, natuje leo? Ni mimi huoni twaendana
Je, uko single? Hapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Je, uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi tujue? Ni mimi huoni twaendana
#zabronsingers #ukosingle #uposingle #gospel #gospelmusic #bible #lyrics #zabronsingerslyrics #uposinglelyric #uposinglezabronsingerslyric #wapendanao #zabronkahama #sabato #sabbath
Enjoy the lyric
Ukisikia ni harusi tufurahi
Maana sio rahisi kumpata
Vigezo huwa ni vingi kububali
Mara mfupi mweusi, simtaki
Wengine sitaki mweupe
Mara mi nataka mweusi
Hamjui mungu sitaki
Vigezo kwa vigezo
Sasa nimeshapata wangu kipenzi
Kipenzi cha roho yangu
Ndio huyu hapa leo
Namtambulisha kwenu
Uko single? Kapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi, yuko wapi? Ni mimi huoni twaendana
Je, uko single? Hapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Je, uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi tujue? Ni mimi huoni twaendana
Nishike mkono kipenzi
Kwangu wewe ndo kila kitu
Na leo ndio siku yetu
We mzuri kwangu
Kwa wazazi, ukapita
Moyo wangu ukapitisha
Na pastor amekubali
Tufunge ndoa yetu
Ona twapendeza
Tukitembea pamoja
Tuimbe pamoja
Na tufurahi pamoja
Ona hata watu wote
Mekasanyika hapa
Kutuweka pamoja
Tuje tuishi pamoja
Uko single? Kapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi, natuje leo? Ni mimi huoni twaendana
Je, uko single? Hapana nishampata wangu
Yuko wapi? Huoni mzuri twaendana
Je, uko single? Hapana keshampata wake
Yuko wapi tujue? Ni mimi huoni twaendana
#zabronsingers #ukosingle #uposingle #gospel #gospelmusic #bible #lyrics #zabronsingerslyrics #uposinglelyric #uposinglezabronsingerslyric #wapendanao #zabronkahama #sabato #sabbath