Azimio la Umoja Kenya watangaza maandamano kupinga mfumuko wa bei

preview_player
Показать описание
Viongozi wa muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya wametangaza maandamano ya amani na mikutano ya hadhara ya nchi nzima kupinga hali ya mfumuko wa bei, hii ni baada ya hapo jana kuzindua rasmi kampeni ya kuipinga serikali inayoongozwa na Rais William Ruto.

#AzamTVUpdates
Рекомендации по теме