Mrengo wa Azimio watangaza mwanzo wa maandamano ya kitaifa

preview_player
Показать описание
Kiongozi wa chama cha Azimio Raila Odinga ametangaza rasmi mwanzo wa maandamano ya kushinikiza serikali kupunguza gharama ya maisha na kutekeleza mageuzi katika mfumo wa uchaguzi. Muungano huo umesema utakuwa ukiandaa mikutano ya amani kuanzia kesho katika kaunti ya Migori na mwishoni mwa wiki ambayo kilele chake kitakuwa mkutano utakaoandaliwa jijini Nairobi tarehe 20 mwezi huu. Hata hivyo , waziri mwenye mamlaka ya juu Musalia Mudavadi ametoa tahadhari dhidi ya maandamano akisema hayana manufaa na yataathiri zaidi uchumi wa nchi.

Connect with KBC Online;

#KBCchannel1 #azimiolaumoja #News
Рекомендации по теме