filmov
tv
Muungano wa Azimio watangaza utakuwa na baraza Jumanne wiki ijayo katika uwanja wa Kamukunji
Показать описание
Muungano wa Azimio umetangaza utakuwa na baraza Jumanne wiki ijayo katika uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi ili kutoa mwelekeo kuhusu mswada wa fedha wa 2023. Muungano huo umetupilia mbali vitisho vya waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki aliyeonya kuwa hataruhusu maandamano kufanyika.