INAUMA NDUGU WA MARCO ASIMULIA MANENO YA MWISHO ALIYOAMBIWA KABALA YA MARCO KUAGA DUNIA INASIKITISHA

preview_player
Показать описание
Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!

We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!

#entertainment #news #music #funny
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Watu wanafanana aisee pole sana aisee pole family😊

eliudmkumbwa
Автор

Poleni sana ndugu jamaa na rafiki kwakipindi hiki kigumu kikubwa shukulu mungu kwa kila jambo

HappyBwire
Автор

Poleni sana ndungu jamaa na marafiki duniani tu wapitaji hatuna mji udumuo

EzekielPaulo-km
Автор

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki Mungu awatie nguvu kwakipindi hiki kigum Cha msiba

EzekiaMichael-jnnp
Автор

Poleni sana. Kwa familia na pia waimbaji niya mwenyezi mungu hayo. safiri salama

pamelamakheti
Автор

Poleni sna watu wa Mungu, mpate faraja kutoka kwa Mungu

EmillyObeto-nk
Автор

Poleni sana kwa familia napia waimbaj mwenyezimugu awaguse

EsperanceMauwa
Автор

duh!..polen wana zabron, lkn yote yayote, Kumshukuru mwenyezi Mungu.

Richard.S.Magoryo
Автор

Poleni sana kifo chake imekuwa 😢 kubwa sana rip bro

rosemathayo
Автор

Poleni sana hakika niuchungu..Rest in peace Marcos

lydiamichael
Автор

Poleni sana inauma lakini tukumbuke pia sisi nimatunda ya Mungu anatuvuna kwa wakati wake na majira yake

annamlay
Автор

Kenya tumepata habari hizi kwa maskitiko makubwa. Lala salama bwana wewe

philtonechesa
Автор

Jaman ni jambo la kushangaza duu nawapa pole wanakwaya wa zabron

ThomasIdo
Автор

Polen jina la bwana lihimidiwe maana imeandikwa Kila nafs itaoja maut

EsterJohn-sr