INAUMIZA jinsi FATHER NELLY wa XPLASTAZ alivyouawa kwa kuchomwa KISU, mdogo wake asimulia kila kitu

preview_player
Показать описание
Marleen, mdogo wake Marehemu Father Nelly na members wengine wa kundi la Xplastaz anasimulia jinsi kaka yake alivyouawa March 2006 jijini Arusha. Marleen naye ameingia rasmi kwenye muziki na ameachia kazi yake mpya iitwayo Give It To Me. Itazame hapo chini:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Father Nelly inaelekea alikua na nguvu sana ya upambanaji upande wa maisha, kama angakua hai nahisi Swahili Hip Hop ingekua popular sana duniani kwote.
RIP FATHER NELLY,
#KeepGoMareenXp

zulfikakalumba
Автор

Rest in eternal peace Faza Nelly, huyu alikuwa msanii wangu bora wa Swahili Hiphop, mpaka leo hii nasikiliza nini dhambi, a classic, the best hip-hop song to come from Tz hands down!

jimboulaya
Автор

Nini dhambi my fav hip hop song of all time...RIP father Nelly

Adeen.
Автор

Aisee Sky, Umefanya kutufurahisha kutuletea huyo Dada Ili kuujua ukweli wa kifo Cha Faza Nelly, X plastaz ni kundi ambalo lilifanya nianze kuzipenda nymbo za hip-hop, R.I.P Faza Nelly✊Love from Finland 🇫🇮🤝

chidiomari.
Автор

Sky your the best brother, keep it man.. endelea kutuletea madini

AzmaMpondaMUSIC
Автор

Aisee! Nilikuwa najua kuwa Kuna ndugu kwenye Hilo kundi Ila sikuwahi jua kuwa wote ni ndugu wa tumbo moja! Rest in peace Father Nelly! Hilo kundi lilikuwa ni true definition ya hip hop!

georgeburchard
Автор

Poleni sana Mungu awape subira na upendo kila siku Ameen🤲

aminaabdallah
Автор

Ingeanza na Intro ya Wimbo wa Hao Jamaa atleast wadogo zetu waelewe.Rest In Peace Nelly

deogracioustemba
Автор

Alichomwa kisu kijenge Arusha
Dah nakumbuka sana
Rest in peace Faza Nelly

abdullahrashid
Автор

Inahuzunisha sana kifo cha father Nelly.
My brother Sky unafanya kazi nzuri sana ila kuna kitu nakiona bado hakipo sawa kulingana na ukubwa wa SNS, Sky fanya utagute Motion graphics designer, kila nikiangalia hizo video Transition(zoom, Slides etc) hazifanan na SNS, kufanya Transition kwa kitumia Camera tu inafanya picha kuto kua stable. SNS Ni platform kubwa na Bora, kila kitu kinapaswa kufanywa kwa ukubwa na kwa ubora unaostahili.
Lifanyie kazi hili brother naamin unaelewa nonachokizungumza.
Keep working hard, keep SNS bigger and bigger, Bless!

mvanojr
Автор

Nini dhambi...aisee the best hiphop song ever

dorisfabian
Автор

Maskini anajikaza sana ur strong baby gal

hawahassan
Автор

22/03 cku ya wajanja dunia yan tuko pamoja big up

stefanomwayele
Автор

Hakuwa na makuu ata alipotoka majuu alitembea kwa miguu mpaka K juu, RIP FATHER NELLY

samweljumamkumbo
Автор

Aya Mavitu yasibitishwe atakumbukwa milele farther nely wa migadala

denzopamtui
Автор

🌍🇹🇿🌍📖📝📖NOTHING TO SAY BUT 🗡️⚔️🗡️FUCK YO 😤"MOSES KILUVYO"😤SABABU WEWE 🤯😤🤯MPUUZI MMOJA😤🤯😤 NDIO MTU AMBAYE ANA 💹💳💹💳💱💱✊🏿👊🏿✊🏿FAIDA👊🏿✊🏿👊🏿💳💹💱💹💳 SANA KWENYE HIKI 🌍🇹🇿🌍KIZAZI🌍🇹🇿🌍 CHA 🤔🧠🤨🤔🧠🤔KUKATISHA TAMAA🤔🧠🤨🧠🤔, , , SABABU FATHER NELLY ALIKUWA MTU MWENYE 🤔🧠🤨🧠🤔🧠🤔KUBEBA MAONO SANA🤔🧠🤨🧠🤔🧠🤔 SIJUI SABABU WENGINE 🤰🏿🤱🏿👶🏿TUMEZALIWA🤰🏿🤱🏿👶🏿 KIZAZI CHA 90's ILA NIKIANGALIA KWENYE 🌬️🎤🎙️🎤🌫️🎤🎙️🎤🌪️🎤🎙️🎤🌬️LAYER GRADES YA 🎛️H.I.P H.O.P FATHER NELLY MWINGINE 📝📖📝SABABU BROTHER KWANZA ALIKUWA 🎤🎙️🎤"NI MKWELI KWENYE 🎤🎙️🎤M.I.C🎤🎙️🎤 HE IS TRUE H.I.P H.O.P MC'z AMBAYE ALIKUWA AONI HATARI KUUSEMA UKWELI ULIO NA UWAZI USIO NA MAKUNYANZI SO I DO NO WHAT THA STORAGE 😤ILA RAHANA/LAHAAANAAA😤 YA ALIYE MCHOMA 🗡️⚔️🗡️BETO🗡️⚔️🗡️ FATHER NELLY BUT ⚰️🗿⚰️BROTHER NELSON CHRISOSTOM BUCHARDS 🕯️💡🕯️PUMZIKA MAHALI AMBAPO MUNGU ATASTAHILI 🛌⚰️🛌KUKUPUMZISHA🛌⚰️🛌🕯️💡🕯️, , , 🎤🎙️🎤🎵🎶🎵NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI BADO INAISHI, , , 🌃🏙️🌃🏪🌃🏪🌃🏙️🌃🏪🌃"MASERIKALI NDIO YAMETUTUPAGA HUKO YAANI🌃🏪🏙️🏪🌃 KAMA 📢📣📢ULIVYOSEMA📢📣📢 KWENYE INTRO YA HII NYIMBO YA NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI🎵🎶🎵, , , 🤔🧠🤨🧠🤔🕯️💡🕯️R.I.P FATHER NELLY🕯️💡🕯️, , , 😮😪😥SO SAD SIPATI PICHA MTU MPOLE, , , MKARIMU, , , MCHESSSHI, , , ASIYEPENDA MAKUU, , , 🗿⚰️🗿ALIVYOKUFA🗿⚰️🗿 KIFO CHA ⚔️🗡️⚔️KI⚔️🗡️⚔️ 🥓🥩🥓NYAMA🥓🥩🥓 NA KWA 🤕😪🤒😥😥😪😥🤒😥😪😥MAUMIVU😥🤕🤒🤕😪🤒🤕😥🤕🤒🤕 MAKALI 🤕🤒😥🤕🤒SANA🤕🤒😥🤒😪😥🤒😥😥🤕🤒🤕😥🤕🤒🤕😥🤕🤒🤕, , , 🌬️🌫️🌪️🌫️🌬️MUNGU TU NDIO ATALIPIA 📜HATMA 📜YA HII 🌬️🌫️🌪️🌫️🌬️ROHO, , , NAFSI🌬️🌫️🌪️🌫️🌬️NA 🛑🌡️🛑DAMU🌡️🛑🌡️ YA FATHER NELLY🌡️🛑🌡️ ILIYOMWAGIKA🌡️🛑🌡️ MARCH 2006 📜BILA HATIA📜, , , 😥😪😥🗿⚰️🗿R.I.P FATHER NELLY, , , 🗿⚰️🗿😥😪😥, , , 📝📖📝MIMI NI SHABIKI MKUBWA WA 🎛️🎤🎛️H.I.P H.O.P🎛️🎤🎛️ YOTE 🇹🇿TANZANIA🇹🇿, , , YA 🇹🇿KASKANI🇹🇿 NA 🇹🇿EAST AFRICA RISES🇹🇿, , , 🇹🇿SWAHILI HIP HOP NA X. PLASTAAZ🇹🇿 @Gayo Guerino Mgima, , , 📝📖📝, , , , 🌍🇹🇿🌍, , , ...

dengemasterdengemaster
Автор

Kaka tangu ni kumfahamu sija wahi kuthubu kuwa mbali nawe natamani kusema mengi ila basi tu

ixven
Автор

Nini dhambi...aisee the best hiphop song ever

dorisfabian