MFUGAJI AINGIA 18 ZA RC GAGUTI, ANGALIA WALIVYOJIBIZANA 'AAGIZA AWEKWE CHINI YA ULINZI'

preview_player
Показать описание
Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amemaliza ziara yake Mkoani humo kwa kutembelea Wilaya ya Ngara na kufika eneo la Rusumo lenye mgogoro baina ya Mfugaji Athuman Makoye na wananchi kwa madai kuwa mfugaji huyo anawazuia kuingiza mifugo katika eneo la kijiji.

Baada ya majibizano yaliyodumu kwa muda mfupi Mkuu huyo wa Mkoa ameagiza mfugaji kuwekwa chini ya ulinzi huku akitoa maagizo juu ya ardhi hiyo na kusema kuwa hakuna mtu yeyote anayeruhusiwi kuweka uzio kwenye eneo la kijiji.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aliemuona afande kafanana na Tundu lisu gonga like

dibabatv
Автор

Siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kuelewa kwanini mfalme Suleiman aliomba kwanza hekima

asueddy
Автор

RC hana leadership ethics 😔 hafai huyo

perfectmelodiz
Автор

Hapo kaonewa huu mzee kwa kweli sio kweli

swaumujuma
Автор

Saaaafi mjeshi👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻imagine darasa mbili kwa hekari 50 elfu haikubariki kabisaaaa

kamalofanuel
Автор

Umekulupuka huyo ajavamia wangemwambia tu tunakupunguzia heka unastahili kubaki na heka hizi da

mohamedbabu
Автор

Kwa hari hii n bora nisiwe mwwkezaji wa ndani.

anordlaurent
Автор

Kama umemuona TUNDU LISSU na miwani yake kavaa combart ya police Gonga like

ridhiwanimaulidi
Автор

Angekuwa Mzungu duh sijui kama viongozi hao wangemkejeri

patrickmsuguri
Автор

Wamekosea sana kutomsikiliza awa viongozi wetu huwa wanakosa leadership ethic kwakweli niaibu kubwa

biasharatvbtv
Автор

Muwekezajii hana tatzoo kbs bs abomoee madarsaa alojenga 😆😆

hamismoshi
Автор

This is Great Mr RC mwendo mzuri. Tuwatendee haki Wananchi watumishi ndiyo chanzo cha kuwahujumu Wananchi

sammymdemeka
Автор

OK Mr makoye kila kitu kitakaa saw a government IPO na wanasheria wapo kilakitu kitakuwa solved

kingandreemmanuel
Автор

Ila viongozi wengine mnamajibu mabaya sana huwezi kudharau mtu ety vimifugo vyako hivyo, na shule haina mantiki tuweni na utu bc siyo kumnyima mtu ata Uhuru wa kuongea siyo vizuri kwani ukimjibu vizuri tu hataelewa plz uongozi ni dhamana na kuwa kiongozi lazima uwe na uwezo wa kuthink behind na kujudge siyo kutoa jibu tu without judgement mtu anatakiwa na yeye asikilizwe.

vicentmakoye
Автор

Eti awekwe Pingu...sijaona mantiki ya kufungwa pingu.

sylvesterjose
Автор

Ekari 3000 kwa madarasa manne??? Hapana viongozi wa kijiji wakamatwe

Muka_
Автор

Kumbukeni hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho ukweli utabaki kuwa ukweli tu

aronmtui
Автор

Sijapenda hiyo kauli ya vihela vyake hyo Ni zalau

abdulchikuti
Автор

Alipewa ardhi kutunzia mifugo co kumiliki 😂😂😂😂

adolphmwangoje
Автор

DC waheshimu sana wawekezaje shule sio muhimu muhimu ni hiyo kofia yko DC ametapeli nani tz imebarikiwa na aridhi punguza domo kaya Dc

azizayassin