JKT Tanzania 0-0 Azam FC | Highlights | NBC Premier League - 28/08/2024

preview_player
Показать описание
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye wa NBC Premier League kati ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC, ambao umemalizika kwa matokeo ya 0-0.

Ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili msimu huu wa 2024/25
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa kweli jkt wanajitahidi saana uwanja upo vizuri sana

sammwasomola
Автор

Bonge la mechi kwenye kiwanja Bora Cha kimataifa hongelen jkt 🙏🙏🙏

EliasMambya
Автор

Nawapongeza JKT wameboresha uwanja wao safi sana

barackmoses
Автор

Moja ya viwanja bola kwa sasa Tanzania

ZaituniAmrani
Автор

Mzee Bakhresa nakuomba ifute kabisa hiyo timu, na hapo Chamazi jenga kiwanda cha kutengeneza pipi utapata faida kubwa kuliko kuwa na mijitu isiyo kusaidia, tangu wachezaji mpaka benchi wote fukuzilia kwa mbali

ZaidAKissinza
Автор

Mechi taff sana mpira mzuri sana japo Hauna goli ila mpira wenye hadhi ya ligi kuu ushinfani ulikua mkubwa🔥🔥

mtulivu-irnq
Автор

Nyiee ligi ngumu mwaka huuu tutaona mengi mechi ya kwanzatu unashona sare Azam club bingwa kutolewa saikological

EliudiAndasoni
Автор

Acheni wenge mpira unsmatokeo 3 tulieni hamjui mpira mnaongizwa na mihemko ya kishabiki ligi ndo kwanza game ya kwanza anzeni kulalamika after 10game cz jua ligi kila timu inejiimarisha msiangalie majina ya wachezaji na majina ya timu kwani hao azam ninani

MlingaSawack
Автор

Kaz ipo msimu huu ni ubaya ubwela yaani ni ng'adu kwa ng'adu

Emedroadtocanada
Автор

Duuuu😢😢😢😢😢 kuna jamaa alikuwa anamsubiria azam tuu ashinde million na lak 280

JoelTeti
Автор

Yaan hao jkt ni kama Azam na Azam ni kama jkt kimchezo jkt wanaonana

zamukahemele
Автор

Kwa uwanja huu hakuna timu itapata ushindi hapa, wajeda wanakaza balaa

BarakaKusalula
Автор

Sema huu uwanja upo vzur sana au macho yangu tu

MaryamHassan-sk
Автор

Niwapongeze TFF naona mwaka huu viwanja vyote vina ubora sana

PhilipoManjale-zr
Автор

Shida ya Azam hivi:- Simba na Yanga timu kongwe toka 1935 na tokea wakati ule mashabiki wakawa wa timu mbili hizo tu hata Dube si alisema katika uongozi Azam kuna wanaoipenda Simba na Yagsa na hakuna nyengine kwahivo ndio A, am hawana mashabiki wa moyoni kwa hivo hsina popularity

ibrahimalharthi
Автор

Kocha mjinga kwann diakite hachezi wakati alionekana kucheza vizr dakika anazoingia

RidhiwanMbaruku
Автор

Kipre na Dube hawakupaswa kuuzwa.
Pia Azam ni timu ya burudani na biashara haina malengo yoyote kuchukua medali ligi ya ndani ama kimataifa.

victorcephas
Автор

Hamuchelewi kwenda kwenye media kulia ...wala mihogo...

mrtwo-b
Автор

Hii ligumu ndo maana GSM kaamua kuongeza timu kweli yanga bingwa watapata point nyingi sana

AbisinaRashidi-cd
Автор

Kumbe Simba na yangu TU kulikobakia kama ligi ya Zanzibar

BakarAliy