Azam FC 1-1 JKT Tanzania | Highlights - VPL 30/10/2020

preview_player
Показать описание
Azam FC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Oktoba 30, 2020 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi,. JKT walitangulia kupata bao kupitia kwa Michael Aidan na Azam wakasawazisha kupitia kwa Salum Abubakar 'sure boy'

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yanga watapigwa hapa na JKT FULL TIME 2-1 Amin ni

BigDreamsWorldwide
Автор

Azam na dube wenu tayali umeme ume kata🤣🤣🤣🤣🤣🤣simba tuna fukuza mwizi kimya kimya

kacherosimba