MO DEWJI: HAYA NDIO MAMBO YALIYONIFANYA NIWE TAJIRI LEO/WANADHANI MAFANIKIO NI KUWA NA GARI NZURI.

preview_player
Показать описание
#gamechangertv #moodewji
Mohammed Dewji tajiri mwenye umri mdogo afrika akiongelea mambo yaliyomfanya afikie mafanikio aliyonayo leo hii.
pia anaongelea maana ya mafanikio kwa upande wake.
video credit: Ahlulbayt TV.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunaomba uendelee, kutoa elimi hasa kwa sisi vijana wakitanzania

Mateo_afya_bora_channel
Автор

Hongera kwa yote unayotutendea wa tz . Naomba kujua unahuduma ya mkopo? Nimeona fb nikweli mkuu

barikiswallo
Автор

pesa Ulizitafuta wewe au ni za kurithi kwa mzee?

Fantastic.-gmeo