K2ga - Ni Wewe {Track No.1}

preview_player
Показать описание
Safari, A first Ever Extended Playlist from Kings Music First Born K2ga, with Almost one Year after his last track released, he’s coming out fresh with three tracks to resume his music career journey.

{Track Number 01.Ni Wewe} Time: 3:47 Produced By Debee & Yogo Beats

Listen to K2ga on Digital Streaming:

Follow K2ga on Social Media:

+For More Information Booking K2ga:

©2021 Kings Music Records.All rights reserved.

#K2ga #SafariEP #NiWewe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Romantic voice🥰big up umeniimbia mimi😂😂kabisa kaka

nurukabia
Автор

K2GA Mungu akubariki Sana hakika unakipaji kikubwa Sana daah nataka kulia😥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

musakulei
Автор

Itoshe kusema huu mwaka tuzo zote ziende Kings 👐🏽. Kings Music Record First Born, #MwanaMfalme. Such a classic song, Congratulations Broski 🔥✨

Venture_
Автор

Ngoma balaaa hiii kwa sisi tunao jua mziki mzuriii

konceptualagency
Автор

hii ngoma kali sana nmeikubali kweli🙌🙌

tanzalivetv
Автор

Wow nice kzi mzuri sisi wengine tunafurahia kazi mzuri hatunaga team lakn siku hizi wingi wetu wanatupigiya kilele tu but mziki mzuri uwe unaimba like hii kazi 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿🥰😍

drkimwaga
Автор

K2ga to the world 🌎. Number one fun from kenyaaa

miltonkoch
Автор

Alivotulia K2GA ....amepita njia za King kinyamwezi sana

michaelomondi
Автор

Inatosha kusema Kings mussic no best musicians kwa Bongo na Njee ya BONGO @K2GA umetisha Sana
Kamazawad no

eliahgabriel
Автор

Ni Wew ni nyimbo yangu ya mwaka 2021💥💥❣️🇹🇿🙏 K2ga big up bro!

robbyksultan
Автор

K2ga mr King's uwe unatoa ngoma kama izi unauwa sana kiukweri

kinjekitilew
Автор

Huu mziki huu tukifanya masihara hawa Kings music watauchukua hawa sio watu wazuri wabaya kiroho mbaya dah 🎤🎼 K2ga. shikamoo kaka

salumramadhani
Автор

Unanipa raha wewe, unanipa raha ni wewe, jaman mwana Wa mfalme Tena umejua kunifurahisha, you have a classic voice

wazirygingo
Автор

Unaenipa raha!!! Unaenijali, haujanikera

kgchippy
Автор

Wadau Hasa #wadada Na BloodFans ❤️❤️❤️❤️wa King's music Wakaitrendishe HUKO YouTube Hili Goma litaenda saana Sawa Na#Utu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

elardmadeez
Автор

First born for sure k2ga eagle 🦅🦅🦅🦅🦅🦅🦅

chodohbbway
Автор

Mziki mzuri sana hauna mwisho. Kama baba tu, kings music nyumbani kwa mziki mzuri🔥🔥🔥🔥🔥🔥

alfylegit
Автор

Daàh hii ngoma ni kaliii sanàa waĺla music for life

ibrahimmkala
Автор

K2ga is the best artist hit music Ni wewe

BornStreets
Автор

Mwana mfalme ❤️❤️❤️❤️ keep up Bro with good songs Bro

akiliukasha