Lody Music Promise (Official Video)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakukubali sana bro iyo nyimbo kama umenimbia mm kaka pamoja sana damu yanga

Rooneydavid-kj
Автор

Mambo yangu jaman nyimbo Kali kali🎉🎉🎉🎉 naomba like🎉

RashidSaid-nv
Автор

Atimae chupaaa Kali limetoka tyumeliona kakaaa Lody..pam1 sana Niceee😊

bjayvocal
Автор

Wangapi tulikua tunaisubir hiii kazi kama mimi like hapa tujuane

RobertLugano
Автор

You are the best can you go for Novella generation❤❤❤❤💥💥💥💥💥🇨🇩

claudepaluku
Автор

Good good voice my choice god bless you I like it

bonifacemizambwa
Автор

Daaaah 😔 wimbo huu umenikumbusha🤔🤔 mbali Kweli NC song 👌👌

Byamungutz-oikx
Автор

Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa

kingfisher
Автор

I dont know why i usually feel emotional once i listen to your songs😢...much love❤❤❤❤nice song

diana_moraa
Автор

nilijua tu huwezi niangusha dogo wimbo uloenda viuoo vikuu duniani kote bigup

omidopatrick
Автор

Hiii Ngoma ili nisumbua Sana ndani ya miezi 3 maana niliisikia mara moja tu nikashika neno promise mpaka kuja KUPATA kugundua kembe ni lody music dah😢

The_Ayu_Tv
Автор

Dah Lod Lod Lod music 🎶 aya bana 😱😱😱

MichaelMaboma
Автор

Lody anapenda mapenzi kweli kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie ❤❤❤ like APA Kama wewe Ile wimbo ya lody do ilikuvuta kwake 😅

Leroiacjay
Автор

WEE MTOTO LODY MUSIC UNADJUA MPAKA UNAKERA BROOW

AirtelZnzbr-urff
Автор

Daahhh uyu jamaaa anajua mpaka anakera kk

wickwan
Автор

Lody, nina nyimbo zako zetu, mara kwa mara huwa napenda kujifunza kuimba kupitia Sauti yako japo mie ni rapper. Napenda Tu kuimba na kusikiliza mziki wako maana kila nikiwa kwenye Hali ngumu ya kimoyo mziki wako hunituliza na kunipa matumaini. Asante sana Lody 🙏🙏🙏🙏

BTMFRANK