LODY MUSIC - KUBALI (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Booking Info:
Phone: +255714085154
@2021 MADEMUSICBRAND
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

muchungaji Basi lody Inge itwa Nabi wa mapenzi...like kama tupo pamoja

mugishocroyance
Автор

1Million View in 1 Weeks Kama Unaliamini Ili Gonga like Apa ni bonge la Ngoma Lody Music💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

Conshamusic
Автор

To the broken hearted, May you find comfort, peace and overcome denial. May you find your soul mate. Someone who deserves the love and appreciate you.
A good song that really gets to the core.

joramkemboi
Автор

Kulingana na maumivu napitia ya mapenzi nimerudia hii nyimbo 2025 kama umerudi usipite bila like 👍

Fastlaneyoung
Автор

I love this song ❤️may those who were heartbroken this year 2024 on valentine hear this song ❤

FrankFrank-kpcm
Автор

Unaempenda kampenda mwingine...huyo mwingine nae ana mwingine....mwingine naye kapendwa na mwingine...moyo sukuma damu sio mashine...wallah

jacklinejastine
Автор

Nani bado amekuja kusiliza hii nyimbo kali 2024 likes hapa

KelvinMasoud
Автор

Please to all, I'm leaving this comment here so after a week, , month or years When someone likes It, I'll get reminded of this song, I love it and I'll remember the moment I cried with this🙏🏾.

gellasjrg
Автор

Tulio penda kisha tukatendwa😪😪l still listen to this song wenever l.think of my ex galfrend l loved her soo much bt💔💔

benjaminmoses
Автор

This song is underrated...this guy nailed it🔥...2023 still a banger🔥🔥

simplelifehackske
Автор

Kwenye moyo wake hauna nafasi
, 😭😭😭😭izee nyimbo kalii 💪💪

ireneshapa
Автор

Wahanga😢😂 mliopo humu 2025 likes 100 apa

HappyMbara
Автор

Mapenzi yanauma asikwambie mtu Kama umependa kweli, kwa wale tumependa kweli tukatendwa gonga like😭😭😭😭😭😭😭

sammymutiso
Автор

wow nyc one big fun wa u yenyewe mapenzi yanaumiza nimekubali finally

esthernjoroge
Автор

Unalewa nini wakati mwenzako amekuwacha, , yaani hakutaki tena...
Wueeeeh, , , lecture inamake sense, , mad love nduguuu🇰🇪

maxmillianmugo
Автор

Wimbo umekua mtamu mpaka watu wamekomenti kizungu kwa wimbo wa kiswahili kaka umeua vibaya hongera sana kwa kazi nzuri wengi wameumizwa ndio maana wameielewa na kuguswa na ulichokiimba

lolococo
Автор

NIKO APA 2025😢....HII NYIMBO IMENITIA MOYO XANA...MAPENZI YANATESHA JAMENI😢😢

SerengoComedian
Автор

Hakuna kitu inauma kama vle unapenda asiye kupenda unajua lkn bdo wajipa moyo, , lkn bdo haoni😭😭😭😭Mungu Mapenzi yanauma

shypretty
Автор

ngoma imenipa motisha shukran nikubali THANK

samirdeperfomer
Автор

Kweli mapenzi Yana uma sana kama unakubali gonga like hapa

SafinaHasani
welcome to shbcf.ru