FAMILY DELIVERANCE SERVICE - 3.7.2024

preview_player
Показать описание
Thank You for Supporting Newlife Prayer Centre & Church.
Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay updated with our latest videos. God Bless You.
Prayer Line/M-Pesa: +254 723596503/ +254 703333363/ +254 700873451/+254 702666222/ Till NO:9134561
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Alifunga familia yetu naomba katika hii maombi ya family deliverence tukombolewe kutokana na madhabao ya talaka magongwa umaskini na vifo vya mapema zingolewe katika jina la yesu

FlorenceMunyao-kotk
Автор

Naamini nitarudi kwa kazi yangu kupitia hii Madhibau ya uzimu ya Newlife Amen 🙏

yvonnelewa
Автор

Kesi yangu iishe kortini na nifanikiwe kwa maisha, nibariki mungu na niepushe na magonjwa, na unirudishie mzungu wangu bless paige from Mexico Amen

ShedyPeniki
Автор

Rita wachawi na wanganga wanaoingia kwa hii nyumba wapingwe na radi ya moto wa damu ya yesu kristo amen

AaAa-zoyj
Автор

Hii wiki mungu wa madhibahu ya new life apigane na wachawi wanaonitesa kimagonjwa nawa wanaoniekea sumu waliotufunga familia yetu ilitusibarikiwe madhibahu ya ulevi bangi leo zipigwe na yubarikiwe aliyetunyanganya shamba zetu aziachilie naturudushiwe wenyewe nafamilia yetu ibarikiwe ikombolewe na tujenge tuwe na familia injesus name

linetthoya
Автор

Aliyefunga famiia yetu is itolewe aliyefunga familia yetu isibarikiwe aliyesababisha mateso na mahangaiko kwa Familia yetu hizo roho zipigwe naradhi za mungu kupitia hii ibada yaleo kila mchawi anayehangaisha familia yetu aliyesababisha matoso machozi kwa familia yetu mchawi aliyeenda kwa mganga ilitusifanikiwe leo leo akufe na familia ikombolwwe injesus name

linetthoya
Автор

Through my sacrifice every unlucky and unfavoured things happening to my life to die forever. I'm highly favoured in Jesus name. Amen, Joy

IamJoyM
Автор

My family delivered now..jojote inanipea stress ingolewe in the name of Jesus

gloriachebet
Автор

Make a way for me lord it's seems as if there's no way, .

polinekamundi
Автор

Mungu naomba ufungue familia yetu kwa nguvu za giza

gloriakavinya
Автор

According to my knowledge hiyo visa ni urongo then second hiyo visit inasemwa unaenda uko utapelekwa mahali utalala then after hiyo mwezi moja imeisha utakuja tutolewa hapo uambiwe ime expire utahangaika dadangu bure nimeona hizi kesi mara mingi Omba Mungu akupee kazi mahali popote kama mimi naomba niregeshewe kazi ya mahali nilikua 🙏 my sister have faith in God kila kitu itakua sawa. Ukiona watu wako uko wanatamani kurudi nyumbani lakini hawajui watarudi aje, wanalala njee, hawana chakula ni uchungu tu

yvonnelewa
Автор

I receive in Jesus name napokea nyota ya utajiri in Jesus name

MeshackOduor-pyzp
Автор

Connected by faith God to this night prayers, in Jesus blood AMEN

NambatyaMichael-jzet
Автор

Rita nakemea roho ya mauti ishindwe katika jina la yesu kristo amen

AaAa-zoyj
Автор

Ameeen napokea ndoa ya heshima niwe na cheti changu cha ndoa naniheshimike injesus name

linetthoya
Автор

Nataka Mume mwenye Hekima, mtanashati, tall, deep voiced

marymoses
Автор

Amen naomba nyota yangu ya kazi ingae katika jina la yesu

FlorenceMunyao-kotk
Автор

Amen nipokee uponyaji familia yangu ikombolewe na ulevi laana uchawi kutofanikiwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nipokee kazi yenye mshahara nipate nyota

esthermoindi
Автор

Naomba mungu wa ezekiel anirejezee nyota za familia yetu zilizo chukuliwa

EstherNyabasa
Автор

Baba naomba kupitia madhihabao niwe (above only), kwa ndoa, kwa ufanishi, kifedha na at kwa mali ktk jina la yesu.

jamesbirundu