UZINDUZI WA MIRADI MIKUBWA MWANZA, SIKU TATU ZA RAIS SAMIA ATAONGEA NA VIJANA

preview_player
Показать описание
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi mkoani Mwanza kwa siku tatu kuanzia june 13 hadi 15 2021, atakakugua na kuzindua miradi inayotekelezwa na Serikali ukiwemo ujenzi wa daraja la JPM, uwekekaji wa jiwe la msingi mradi wa SGR na kuzindua mtambo wa kuchenjua dhahabu pamoja na kuzungumza na Wananchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kazi iendelee, Mungu ibariki Tanzania Mungu ibarik Tanzania

ndukulusudikucho_
Автор

Hayati alifanya kazi kubwa. Alihitaji kuwa na viwanda vya kuchenjua madini na kweli akasimamia hilo hatimae kimejengwa cha dhahabu. Magufulu amelala usingizi wa mauti lakini kazi zake zinaishi. Alikuwa na mapungufu kama binadamu lakini nia yake ilikuwa njema kwa watu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

iutv
Автор

Yalale Salama Hayati magufuli hizo Kazi na maendeleo alio watakia watz kwa maesha bora ya watz

aminaabdallah
Автор

kwani Tv kazi yake nini! wataniwakilisha akina Ayo pande za airport kwa karibu zaidi😎😎

salutv.
Автор

KAZI imesmama barabara ya buswelu ilemela kuelekea ndama igoma ilikua na bango la kuanza lami kibao kimetolewa ghafla2(R.l.P JPM)karbu mama Samia jiji la samaki sangara ili kaz iendeleee

harounaman
Автор

Kwaiuyu ninduguyake palamagamba nn naona sautu zinafanana

jojininga
Автор

Usitoke akukute hapo hata kama amekutengua

sebastianungimba
Автор

ye kaz kuweka wezi tu hatuoni kazi zake hizo zote za maghufuli halaf linawatoa wanyaji kazi wa maana linaweka wezi 😏😏😏

aishaalbalushaishabalush
Автор

Nasubir Kuiona Familia Ya JPM ikionesha Ushirikiano Kwenye Hli Hususan Mama Janet

abdulijongo
Автор

Huyu ndo anafaa kuwa DC wa Dar es salaam azibe pengo la MAKONDA hajapoa anaongea vitu kw ufupi na vinaeleweka

sultanielhaddady